Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

Kama kusimamia ndo kumpa mtu sifa basi sifa apewe Samia maana Samia kaanza Urais March 2021 na kwa kipindi chake ndo sehemu kubwa ya daraja imejengwa hadi kumalizika!

Acheni ushamba wa kuabudu mizimu nyie
😁😁😁😁... mpaka utazaa nyumbu mkubwa wewe
 
... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!
Pengine Nia yao haikua kumaliza foleni Bali kupendezesha mji tu
 
... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!

Wabunge mazuzu eti wanashauri hilo daraja liwekewe TOZO!!! Hawajui hata mantiki ya hilo daraja kujengwa na hao wakorea!!!
 
... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!
Mkuu Niruhusu niendeshe Harambee hapa JF upate nauli ya kufika Japo South, Nairobi, Ethiopia ukajionee maendeleo ya Miundombinu maaana kwa hii Post yako ni wazi huna Edposure kabisa na ni wazi safari zako zinaishie Tunduma, Namanga na Mtukul
Kwa mtazamo wako Nina shaka nyumbani kwako wakitaka Kupika Pilau unawaaambia hiyo pesa wakanunue Gunia la Mahindi upate mlo wa miezi Mitatu....Daaaaah kazi ipo
 
Mtahangaika sana kudiscredit kila alichofanya ila hamtaweza. Miaka mingine mitano mtaendelea kufungua miradi yake...oops miradi ya Jakaya
Na Kila jambo kubwa mama analofanya lazima amtaje JPM
 
... ufahari usio na impact kwa wananchi walio wengi! There could be better options with the same resources spent on the project.
Usipite tu hapo kama unaona halina faida kwako eboo..
 
... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!
Well said, namna moja ya kupunguza foleni dar ni kujenga barabara ya kutoka kinondoni na kuibukia muhimbili, au maeneo hayo
 
Ushajiuliza kwa nini awamu zote za JK, waziri wa ujenzi alikuwa Magu? Then jiuliuze kwa nini alimrudisha Magu wizara ya ujezi baada ya kumpeleka uvuvi kwa kipindi kifupi.
Hilo linafahamika, Hayati JPM alikuwa mchapakazi na msimamizi mzuri. Hata JK alikiri na hata kazi zake zinaonekana akiwa Waziri na Rais.
 
... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!
hivi mbona mnajifanya mnajua sana wakati ni vichwa maji tu. kuna mtu aliponda barabara ya kutoka kimara mpaka kibaha, na wengi tu waliponda kutoka morocco mpaka mwenge, anyway kupanga ni kuchagua hapo ndio mawazo yako yalippishia
 
unamjua waziri wa ujenzi kipindi cha jk??au ulikuwa vidudu bado??

hata kama unabanwa na haja akisifiwa jpm,bado hata jk wako hatafaa kupewa sifa hii.
Huyo waziri ndo anatoa pesa?

Yeye anatekeleza ilani ya chama ambacho anakitumikia.

Rais ndo kila kitu, ndo vision ya nchi, mawaziri ni vibaraka wa kutekeleza maagizo ya rais.

Huyo magufuli msimkuze sana, hana maajabu yeyote.

Bajeti amepewa ya kusimamia ujenzi wa miundombinu. Hayo maajabu yanatoka wapi? Hela anatoa waziri?
 
hatumkuzi,magufuli ni mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom