Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

ABC ZA 2025

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Posts
1,299
Reaction score
832
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,

Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,

Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma likiwa tayari limekamilika ili Kuboresha huduma za Kijamii ili wananchi wajipatia mahitaji yao mbalimbali,

Hakika " TARURA Tunakufungulia Barabara Kufika Kusiko Fikika "
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa hili nalo lakujisifia kwa level ya Taifa...ilipaswa tarura wilaya husika waishie kujisifia kwa tarura wilaya ya jirani tu....Kuvimba karne hii kwenye uso wa dunia kwa daraja kama hilo nikuchekesha ulimwengu tu...
Unazifahamu mita 45 mjomba?

Au unaangalia tu picha?
 
Huyu mama akili zake zote kwenye uchaguzi 2025. Kaajiri vilaza kibao mitandaoni wamsaidie ujinga mtupu
 
Sasa hili nalo lakujisifia kwa level ya Taifa...ilipaswa tarura wilaya husika waishie kujisifia kwa tarura wilaya ya jirani tu....Kuvimba karne hii kwenye uso wa dunia kwa daraja kama hilo nikuchekesha ulimwengu tu...
Uliza kwanza gharama yake, ndipo utakimbia. Nenda google halafu tafuta TARURA madaraja au andika jina la daraja hilo.

Piga mahesabu ya makusanyo ya nchi ya mwezi mmoja, angalia gharama ya ujenzi wa daraja hilo ni asilimia ngapi ya pato hilo. Ndio uje hapa na ukoment.
 
Ndio mlianza kujenga lini? Uswahili ili uwe mtamu, lazima uwe na maneno mengi
 
Hongera Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…