Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

Pitia kule TARURA

Ukiona mswahili anaongea kwa nguvu na mahaba yote, unaweza kufikiri mbele yake kuna matendo makubwa yatakayobadili mambo. Miaka 60 ya uhuru, lakini bado tunapiga story tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Unataka kubisha kwa kutumia kigezo cha muda?
Muda Mwalimu mzuri. Tuna miaka 60 ya uhuru na naona kama bado tunafikiri kupiga story nyingi ndio kuleta maendeleo. And yet, mpaka leo hii kuna sehemu hakuna maji, madarasa, barabara wala umeme.
Tupunguze hizi hadithi. Tufanye kazi. kazi zetu zitajieleza zenyewe
 
Uko sahihi
 
Hongera sana Rais Samia
 
Piga kazi mama Samia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jamaa ako na ID 4 akianzisha mada na ile ID ina anzaga na CM ### ana kuja kucomment na ID zingine zile za mpango mkakati
Duuuh, hata wewe naona unaadnika na kujijibu, Hongera bwana Chadema
 
Serikali inayoacha alama,
 
ID za kimkakati
 
Good
 
Safi Sana
 
Tanzania mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…