Useless, hili ni faraja ama kivuko.Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma likiwa tayari limekamilika ili Kuboresha huduma za Kijamii ili wananchi wajipatia mahitaji yao mbalimbali,
Hakika " TARURA Tunakufungulia Barabara Kufika Kusiko Fikika "
View attachment 1995568
Faraja au daraja?Useless, hili ni faraja ama kivuko.
Tabora au wap mkuuu samahani au Ruvuma kuna kijisehemu kanazawa TABORARais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma likiwa tayari limekamilika ili Kuboresha huduma za Kijamii ili wananchi wajipatia mahitaji yao mbalimbali,
Hakika " TARURA Tunakufungulia Barabara Kufika Kusiko Fikika "
View attachment 1995568
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,

DaahUkimtukana MBOWE ndio unaongezewa shilingi ngapi kutoka kwenye buku saba yako?
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.
Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.
Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.
Tanzania na Samia,Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma likiwa tayari limekamilika ili Kuboresha huduma za Kijamii ili wananchi wajipatia mahitaji yao mbalimbali,
Hakika " TARURA Tunakufungulia Barabara Kufika Kusiko Fikika "
View attachment 1995568
Chini kidogo ya Nusu ya sehemu wanapocheza mpira wa miguu.Mkuu unazijua mita 45?
Hivi kumbe mkoa wa Tabora unapakana na wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma? Mi nilikuwa sijui !!Inaunganisha
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma likiwa tayari limekamilika ili Kuboresha huduma za Kijamii ili wananchi wajipatia mahitaji yao mbalimbali,
Hakika " TARURA Tunakufungulia Barabara Kufika Kusiko Fikika "
View attachment 1995568
KaziiendeleeRais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,