Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Tanzania yangu yapendeza
 
Wahuni tu
 
Uchaguzi wa 2025 mbona kama alishashinda, Au sijakuelewa,
Huyu Mama atamaliza mpaka 2030 akioenda kuongeza maisha sawa tu Hawa wenzetu wa Mwendazake walijisahau mpaka wanajikojolea Ukumbini kwa Ndugai walijua ni maisha
 
Huyu Mama atamaliza mpaka 2030 akioenda kuongeza maisha sawa tu Hawa wenzetu wa Mwendazake walijisahau mpaka wanajikojolea Ukumbini kwa Ndugai walijua ni maisha
Tumuunge mkono
 
Hahahahah hilo ndio daraja la kujisifia hivyo?
 
Acheni kujisifu,KWa mwonekano tu tumepigwa, ikipiga mvua ya maana kanasombwa haka kadaraja, KWa mbali naona Kuna ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…