Daraja la Jangwani litajengwa kwa billion 300 au billion 97?

Daraja la Jangwani litajengwa kwa billion 300 au billion 97?

Hapo kulikuwa kuna mipango ya kuiba pesa,haiwezekani daraja la busisi - kigongo ambalo lina urefu wa zaidi ya km 3 na baadhi ya nguzo zake zikijengwa kwenye maji lijengwe kwa bilioni 800 halafu hiko kidaraja cha jangwani kijengwe kwa bilioni 300!
250B itapigwa
 
Sijui kwa nini hawakuanza hili Daraja badala yake wakaanza kujenga Tanzanite kule Coco beach.

Tatizo la TZ Kila kiongozi anajiamulia nini afanye, Development plan zinaachwa makabatini
 
Hivi wakati wanajenga kituo cha mwendokasi pale hawakujua panajaa maji ili warekebishe badala yake wanatenga hela nyingine kufanya same project?
 
Mradi wa Jangwani/Msimbazi Basin ni zaidi ya daraja...

Kuna parking
Kujenga kingo za mto
Kujenga maeneo ya kupumzika.
Feeder road n.k

So bilioni 300 ni mjumuisho.
Pitia link hapa ni dola milioni 200 hiyo ilikua makadirio ya 2020 mradi umeanza since 2022.

Karibu.
 
Attachments

  • Screenshot_20241023_155343_Chrome.jpg
    Screenshot_20241023_155343_Chrome.jpg
    247.3 KB · Views: 4
Mradi wa Jangwani/Msimbazi Basin ni zaidi ya daraja...

Kuna parking
Kujenga kingo za mto
Kujenga maeneo ya kupumzika.
Feeder road n.k

So bilioni 300 ni mjumuisho.
Pitia link hapa ni dola milioni 200 hiyo ilikua makadirio ya 2020 mradi umeanza since 2022.

Karibu.
Asante kwa ufafanuzi
 
We shida yako nini Mzee!? Check fursa hapo.. fungua pub uza nyoka..
 
Mradi wa Jangwani/Msimbazi Basin ni zaidi ya daraja...

Kuna parking
Kujenga kingo za mto
Kujenga maeneo ya kupumzika.
Feeder road n.k

So bilioni 300 ni mjumuisho.
Pitia link hapa ni dola milioni 200 hiyo ilikua makadirio ya 2020 mradi umeanza since 2022.

Karibu.
Wapigaji kazini...mamaee
 
Achana na kile kituko cha jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa kichina kupitia kampuni iitwayo CCC.. KItuko chenyewe ni kitu kipya nilichokisikia kwa mara ya kwanza pochi la mama/ pochi la mama limefunguka

Tafsiri yake ilikuwa ni rahisi sana.. Kwamba hiyo ni pesa ya mtu binafsi toka kwenye pochi lake na kaamua kufanya hisani.. Sikuwahi kudhani Bashungwa naye na usomi wake wote anaweza kuwa chawa promax

Mwaka jana November tuliambiwa serikali imetenga billion 300 za ujenzi wa daraja la Jangwani.. Hii maana yake ni kwamba yalishafanyika makisio yote kwa ajili ya hiyo Kazi.. Lakini kwa mshangao wa wengi jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa hilo daraja tuliambiwa litajengwa kwa billion 97 tuu.

Ninini kilitokea mwaka jana tulipoambiwa ni billion 300 na mwaka huu tunaambiwa ni billion 97?
Hiyo pungufu ama ziada ya billion 203 imekujaje kujaje?
Na VX V8?
Na Yutong?
Na Bodaboda?
Na Baiskeli? Ama na ungo?

Tanganyika..!View attachment 3133146
1729700096436.png

Statement imeanza kubadilika kutoka
AMETOA >>AMEIDHINISHA
Kulikoni
1729700096436.png
 
Bonde la Msimbazi uboreshaji wake unaendeleaje na bajeti yake tayari ipo
Acha porojo,hata ujenzi wa uwanja wa yanga unategemea mpango kazi wa ujenzi bonde la mto msimbazi, huwezi tenganisha daraja la hapo na uendelezaji bonde
 
Acha porojo,hata ujenzi wa uwanja wa yanga unategemea mpango kazi wa ujenzi bonde la mto msimbazi, huwezi tenganisha daraja la hapo na uendelezaji bonde
Usiropoke basi utatia aibuhilo bonde kingo za mti Msimbazi zinaendelea kujengwa.. Makazi mengi kwenye hilo bonde jangwani mpaka Kigogo yameshavunjwa na watu wameshalipwa fidia... Niko mitaa hiyo daily hivyo najua kinachoendelea
 
Back
Top Bottom