Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hiyo ni activity ya kupiga pesa za umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
250B itapigwaHapo kulikuwa kuna mipango ya kuiba pesa,haiwezekani daraja la busisi - kigongo ambalo lina urefu wa zaidi ya km 3 na baadhi ya nguzo zake zikijengwa kwenye maji lijengwe kwa bilioni 800 halafu hiko kidaraja cha jangwani kijengwe kwa bilioni 300!
Kwanza ni ujinga mkubwaHuku kubali tu maelezo bila kuhoji ndio kumetufikisha hapa kama taifa.. Uhalisia ni upi sasa katika hizo figure mbili
Nchi inatafunwa haswaKuna wakati natamani niwe mwana siasa halafu kuna wakati sitamani kabisa,naona tu wacha niendelee kupamabana na hivi vihela vidogo ninavyovipata......
Nchi ya kijinga sn hiiZilitengwa bil 300 sasa bil 97 tu. Zingine mama anajipa mwenyewe au zitaenda tumboni kwa wenye meno kula😂🤣
Wewe dada una laana ndiyo maana huolewi,watu wanakuzomea tu na kukuacha kama ulivyoWewe ni zaidi
Kwa CCM ni kijana imagine Steven Wasira bado yumo hadi leoKijana wakati ana miaka 50
Asante kwa ufafanuziMradi wa Jangwani/Msimbazi Basin ni zaidi ya daraja...
Kuna parking
Kujenga kingo za mto
Kujenga maeneo ya kupumzika.
Feeder road n.k
So bilioni 300 ni mjumuisho.
Pitia link hapa ni dola milioni 200 hiyo ilikua makadirio ya 2020 mradi umeanza since 2022.
![]()
Msimbazi Basin Development Project
The Msimbazi River Basin is an economically, geographically and environmentally significant region, home to about 1.6 million people and critical transportation infrastructure that connects the Central Business District of Tanzania's most populous city, Dar es Salaam, with the rest of the city...www.worldbank.org
Karibu.
Wapigaji kazini...mamaeeMradi wa Jangwani/Msimbazi Basin ni zaidi ya daraja...
Kuna parking
Kujenga kingo za mto
Kujenga maeneo ya kupumzika.
Feeder road n.k
So bilioni 300 ni mjumuisho.
Pitia link hapa ni dola milioni 200 hiyo ilikua makadirio ya 2020 mradi umeanza since 2022.
![]()
Msimbazi Basin Development Project
The Msimbazi River Basin is an economically, geographically and environmentally significant region, home to about 1.6 million people and critical transportation infrastructure that connects the Central Business District of Tanzania's most populous city, Dar es Salaam, with the rest of the city...www.worldbank.org
Karibu.
Maana yake hata ofisi za fire zisiwepo pale wala msikiti na kanisa pale mapipaKwani shilingi ngapi?
Achana na kile kituko cha jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa kichina kupitia kampuni iitwayo CCC.. KItuko chenyewe ni kitu kipya nilichokisikia kwa mara ya kwanza pochi la mama/ pochi la mama limefunguka
Tafsiri yake ilikuwa ni rahisi sana.. Kwamba hiyo ni pesa ya mtu binafsi toka kwenye pochi lake na kaamua kufanya hisani.. Sikuwahi kudhani Bashungwa naye na usomi wake wote anaweza kuwa chawa promax
Mwaka jana November tuliambiwa serikali imetenga billion 300 za ujenzi wa daraja la Jangwani.. Hii maana yake ni kwamba yalishafanyika makisio yote kwa ajili ya hiyo Kazi.. Lakini kwa mshangao wa wengi jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa hilo daraja tuliambiwa litajengwa kwa billion 97 tuu.
Ninini kilitokea mwaka jana tulipoambiwa ni billion 300 na mwaka huu tunaambiwa ni billion 97?
Hiyo pungufu ama ziada ya billion 203 imekujaje kujaje?
Na VX V8?
Na Yutong?
Na Bodaboda?
Na Baiskeli? Ama na ungo?
Tanganyika..!View attachment 3133146![]()
Acha porojo,hata ujenzi wa uwanja wa yanga unategemea mpango kazi wa ujenzi bonde la mto msimbazi, huwezi tenganisha daraja la hapo na uendelezaji bondeBonde la Msimbazi uboreshaji wake unaendeleaje na bajeti yake tayari ipo
Usiropoke basi utatia aibuhilo bonde kingo za mti Msimbazi zinaendelea kujengwa.. Makazi mengi kwenye hilo bonde jangwani mpaka Kigogo yameshavunjwa na watu wameshalipwa fidia... Niko mitaa hiyo daily hivyo najua kinachoendeleaAcha porojo,hata ujenzi wa uwanja wa yanga unategemea mpango kazi wa ujenzi bonde la mto msimbazi, huwezi tenganisha daraja la hapo na uendelezaji bonde
Usiropoke basi utatia aibuhilo bonde kingo za mti Msimbazi zinaendelea kujengwa.. Makazi mengi kwenye hilo bonde jangwani mpaka Kigogo yameshavunjwa na watu wameshalipwa fidia... Niko mitaa hiyo daily hivyo najua kinachoendelea