FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hakuna siku ina foleni kali kama jumamosi saa mbili usiku, kila mtu anawahi ukumbini kwenye harusi, hili usibishe.Yaani mtu upo Tunduru vijijini halafu unalalamikia daraja kufungwa.
Jumamosi ni wikendi hakuna foleni pia ni Siku ya kula bata kwahiyo tunaenda kula bata darajani.
Kama imeumia piga mbizi.
Hapana hoja ni daraja, kufungwa leo tu sio mbaya maana hata likihitaji marekebisho litafungwa zaidi ya sikuKwa hiyo kwa sababu kabla ya Uhuru wazee wetu walikuwa wanachapwa viboko uchi na mjeurumani hivyo serikali inapaswa kuendelea kuchapa watu wake viboko uchi?🤔
Limejengwa kwa matumizi mbalimbali, hiyo kufungwa kwa ajili ya shughuli ya burudani nayo sio mbaya kesho mtaendelea kulitumialengo la kujengwa daraja ni lipi?
Mkuu daraja limeondoa foleni kubwa iliokuwa inasumbua kuanzia at Peter's kuja mjini, kinondoni makaburi kuja mjini,Kenyatta drive kuja mjini.Tulisema hilindaraja ni la mapambo ya kuvutia watalii, sasa mnaona.
Kuna MOBILE TOILETSMaana wakinywa BIA wanaweza kuzuia haja zao Hadi hapo watakaporudi majumbani!?
Aisee!
😂 😂Ni ROHO TUWA pekee inayoweza kutupa mawazo mazuri kama yako!
Mr Event manager! Hazijawahi kuzuia watu kujisaidia ovyo kwenye event yoyote, nje ya hizo mobile toilet huwa kunachafuka sana, watu 1000 mobile toilets 10-20, kila 1 ihudumie watu 50, wakiwamo wanaokunywa beer, huku DJ anapiga asikuambie mtu beer tamu!Kuna MOBILE TOILETS
wakapite huko hukoKabla ya daraja mlipita wapi?
Yaan ma bar yotee hayo hayatoshiHili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya UEFA limekaaje kitaalam mbona kama haliko sawa hivi.
Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho.
Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya anasa.
Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
View attachment 2242047
...Kama Kuna Mheshimiwa ameruhusu Hilo, huu ni Ujinga Kabisa wa sisi Waafika!!ubunifu wa kishamba sana si wangeenda kwenye mbuga huko kama niwabunifu sana
Hivi litafungwa kwa muda gani?Sometimes tusiwe rigid sana, maisha mafupi sana. Dunia nzima barabara huwa zinafungwa Kwa matukio mablimbali. Hata hapa Tz barabara huwa zinafungwa siku kukiwa na marathon.
Hilo daraja lishafungwa sana siku za marathon na hakukuwa na madhara wala malalamiko kama hii ya ECL.
Daraja linafungwa jumamosi jioni honestly jumamosi jioni kuna traffic gani kiasi cha kushindwa kutumia njia mbadala?
Tuache kulalamika hovyo maisha mafupi haya.
Unauliza daraja gani, kwani hujasoma kichwa Cha habari?Eleza vizuri, dalaja gani? Wapi? Nani kasema? Si watanzania wote wameskia hiyo habari unayolalamikia.
Uchumi upi unozungumzia uck wa sa4 weekend?Nakubaliana nawe shithole countries tuna safari ndefu!
Usafiri unachochea uchumi kuboresha huduma, Sisi tunafunga daraja!?
Beberu anatucheki na kuchekaaa maana tunachekesha!
Ni kweli nilisikia jana Clouds asbh kwenye PB wakitangaza, kuwa wataanza na filamu ya Royal Tour then watamalizia fainali ya UEFA CHAMPION LEAGE.Aiseee mi siamini, hadi nipate udhibitisho, WatZ hatujafikia stage ya kuchanganyikiwa kiasi hicho