Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool
--
Waziri Mchengerwa ameyasema haya
“Tunatambua Heineken wamekuwa waki-support michezo na kwa mara ya 1 Tanzania tumefanikiwa kupata bahati na ridhaa na wanatuletea Uefa live pale Tanzanite Bridge kwa ridhaa ya Mh Rais Samia Suluhu”
Kwenu studio...