Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Unawahusu vipi Watanzania hadi matumizi ya daraja yazuiwe?!Usiku wa UEFA
PWanajua kutumia tu wenzao walichotolea jasho, hilo daraja Magufuli kalijenga wao kazi yao ni starehe na matusi tu, hakuna kitu kipya wanafanya, bure kabisa wanachoweza ni kutumia fedha za wengine kwa anasa, hii nchi tusipojipanga kuichukuwa (tena) tumekwisha!
Pole Sana SUKUMA GANGWanajua kutumia tu wenzao walichotolea jasho, hilo daraja Magufuli kalijenga wao kazi yao ni starehe na matusi tu, hakuna kitu kipya wanafanya, bure kabisa wanachoweza ni kutumia fedha za wengine kwa anasa, hii nchi tusipojipanga kuichukuwa (tena) tumekwisha!
Safari yetu ni ngumu sanaUnawahusu vipi Watanzania hadi matumizi ya daraja yazuiwe?!
AiseeWanajua kutumia tu wenzao walichotolea jasho, hilo daraja Magufuli kalijenga wao kazi yao ni starehe na matusi tu, hakuna kitu kipya wanafanya, bure kabisa wanachoweza ni kutumia fedha za wengine kwa anasa, hii nchi tusipojipanga kuichukuwa (tena) tumekwisha!