Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 May 19, 2022 #21 Kuna gari nimenunua nitafanyia majaribio muda huo katika hilo daraja. Sasa kwakweeli sidhani kama nitawaelewa maana bila kupita hapo gari itaharibika.
Kuna gari nimenunua nitafanyia majaribio muda huo katika hilo daraja. Sasa kwakweeli sidhani kama nitawaelewa maana bila kupita hapo gari itaharibika.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 May 19, 2022 #22 Statesman said: Kuna gari nimenunua nitafanyia majaribio muda huo katika hilo daraja. Sasa kwakweeli sidhani kama nitawaelewa maana bila kupita hapo gari itaharibika. Click to expand... unafaidika nini kupinga serikali ya awamu hii?
Statesman said: Kuna gari nimenunua nitafanyia majaribio muda huo katika hilo daraja. Sasa kwakweeli sidhani kama nitawaelewa maana bila kupita hapo gari itaharibika. Click to expand... unafaidika nini kupinga serikali ya awamu hii?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 May 19, 2022 #23 Lupweko said: unafaidika nini kupinga serikali ya awamu hii? Click to expand... Mzee usipaniki.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 May 19, 2022 #24 Utasikia kesho yake wametangaza vifo baada ya walevi kujitupa majini
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 May 19, 2022 #25 Issue Vyoo inakuwaje? unamjua tena mkojo wa pombe