Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Itawapa sababu ya urusi kushambuliwa maeneo nyeti kama bunge,ikulu au maofisi mbalimbali kitu ambacho urusi hataki hafike huko.
Umenikumbusha shule ya msingi kuna vijamaa vilikuwa vinajidai vibabe na mbwembwe nyingi wakati vinapigana na wenzao, vikiona hali ngumu vinapiga kelele vishikwe visijee kumuumiza mtu.
 
Russia hashindwi kushambulia popote ni mjinga tu anayefikiri urusi anaweza kushindwa kushambulia popote ila kuna sheria za vita
Hakuna sheria ya vita ambayo Urusi haijaukiuka mpaka sasa. Kutoshambulia Ikulu, bunge au ofisi za serikali sio mojawapo ya sheria za vita.
 
Kerch Bridge imepigwa vibaya sana, Putin yuko anatoa povu na Urusi tayari wameamua kuvuruga biashara ya ngano katika bahari nyeusi ili nyie masikini na ndugu zenu wengine walio katika migogoro na majanga mfe njaa. Endelea kubaki kwenye chungu.
Moja ya condition za Urusi ni kuwa kiasi kikubwa cha grain kiende kwa nchi masikini!
Endelea kuishi kwenye dunia ya peke yako!
 
Hakuna sheria ya vita ambayo Urusi haijaukiuka mpaka sasa. Kutoshambulia Ikulu, bunge au ofisi za serikali sio mojawapo ya sheria za vita.
Inaonekana unazijua sheria zote za vita!Kama amekiuka zote kama usemavyo,ametumia biological weapons?Nuclear weapons?
Au mnaandika tu vitu kujifurahisha?
 
Haijawasaidia Ukraine kwenye uwanja wa vita
Hujui Crimea ,Urusi ina kambi za kijeshi (Russian Navy base,main base of black sea fleet)vikosi ambavyo hupambana na Ukraine?Hilo daraja ni kiungo muhimu Sana Kwa Urusi kusafirisha silaha na wanajeshi kwenda uwanja wa mapambano.Russia baada ya kuona Meli zake ni hatarini kushambuliwa na drones za Ukraine za majini,Sasa wanatumia Hilo daraja kusafirisha silaha!
 
Nafaka hazisafirishwi,ukimwaga ugali wenzako wanamwaga mboga,

Mtajua hamjui
 
Unakumbuka kipondo walichopewa mara ya kwanza kulilipua? Sasa tarajia zaidi

Kuna nini jipya, Mrusi alishaishiwa kete, hamna aina ya kombora hajajaribu kutuma Kyiv na zimepanguliwa zote, amebakia na manyuklia ambayo yenyewe ni midoli maana siku akishambulia kwa nyuklia ndio atafutwa duniani.
 
Nafaka hazisafirishwi,ukimwaga ugali wenzako wanamwaga mboga,

Mtajua hamjui

Hehehe siamini supapawa amehamia kwenye nafaka, yaani ina maana kashindwa kabisa mapambano.
 
Kuna nini jipya, Mrusi alishaishiwa kete, hamna aina ya kombora hajajaribu kutuma Kyiv na zimepanguliwa zote, amebakia na manyuklia ambayo yenyewe ni midoli maana siku akishambulia kwa nyuklia ndio atafutwa duniani.
Subiri kilio upande wa pili,walioko Ukraine hawawezi kusema hakuna jipya kama wewe Nato wa Banyokwa!
 
Hehehe siamini supapawa amehamia kwenye nafaka, yaani ina maana kashindwa kabisa mapambano.
Kwenye kujifariji na kujizima data kwakeli mnajitahidi sana!
Kuna ugonjwa fulani(nimeusahau jina),mtu hata kuukubali/kuusikia ukweli ili aendelee kuishi kwenye nadharia ya kufikirika aliyojitengenezea!
Kuna watu humu jamvini mna hizo dalili,kajaribuni check up kabla tatizo halijawa worse!
 
Mpaka ukaandika paragraph, kweli mnaumia ila ndio hivyo sheikh mlichagua mtume dhaifu sana.
 
Mpaka ukaandika paragraph, kweli mnaumia ila ndio hivyo sheikh mlichagua mtume dhaifu sana.
A subconscious defense mechanism characterized by refusal to acknowledge (or rationalization of) unwanted or unpleasant facts, realities, thoughts, or feelings.
 
A subconscious defense mechanism characterized by refusal to acknowledge (or rationalization of) unwanted or unpleasant facts, realities, thoughts, or feelings.

Sasa soma ulichoandika, rudia mara tano utaona unaongea kuhusu nyie maustadhi
 
Nani kakuambia hilo lengo?lengo la putin ilikuwa kuwaokoa warusi kwenye mikoa yaliyokuwa ya Ukraine na ameweza kuyachukua yale mikoa na sasa hivi Ukraine wanawatamanisha wachukue Odessa pia
Sio Ukraine kujiunga na nato tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…