Lakni tuna mahaba mabovu sana hivi tunaona kwamba yeye putin hana uwezo wa kushambuliwa?Unakumbuka kipondo walichopewa mara ya kwanza kulilipua? Sasa tarajia zaidi
Imekuwa kaa la moto si atatokaje tokajeHii vita imeshakuwa nightmare kwa Putin.Yeye alichukulia ingekuwa rahisi naona inamtokea puani🤔
Ponapona ya Urusi ni Warusi wenyewe kumpeleka Putin jongomeo 🤔Imekuwa kaa la moto si atatokaje tokaje
Zelensky yupo mtaani tu na pia front lune anaonekana mara kwa mara.Hapo ndo utakuwa mwisho wa zelisky
Kama kaishiwa waambie NATO waingie in full maana kila sapoti wanatoa n leopard 2 zimeshindwa kuleta matokeo saivi tunasubiri F.16s zikapopolewe na s200 tu, let alone kuna s300,400 na 500 Russia anatumia silaha za kale akitunza mpya kwa ajili ya NATO one man army vs Ulaya Magharibi na North American , Australia, Japan, S Korea na anawakalisha 💪🏻💪🏻💪🏻Kuna nini jipya, Mrusi alishaishiwa kete, hamna aina ya kombora hajajaribu kutuma Kyiv na zimepanguliwa zote, amebakia na manyuklia ambayo yenyewe ni midoli maana siku akishambulia kwa nyuklia ndio atafutwa duniani.
Unakumbuka kilichotokea waliposhambulia hilo daraja au ndio tunaanza upya kuambiana.Lakni tuna mahaba mabovu sana hivi tunaona kwamba yeye putin hana uwezo wa kushambuliwa?
Ameshambulia mara ngapi huko Ukraine hadi sasa? Miundo mbinu ameiharibu sana yeye akinyukuliwa kidogo tunamtukuza kana kwamba ni kila kitu.
Kama kaishiwa waambie NATO waingie in full maana kila sapoti wanatoa n leopard 2 zimeahindwa kuleta matokeo saivi tunasubiri F.16s zikapopolewe na s200 tu, let alone kuna s300,400 na 500 Russia anatumia silaha za kale akitunza mpya kwa ajili ya NATO one vs Ulaya Magharibi na North American , Australia, Japan, S Korea na anawakalisha 💪🏻💪🏻💪🏻
Akazifanyia nini mkuuKwa sasa Ukraine ana silaha hatari zaidi ya alizokuwa nazo kabla ya vita.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwanza halikuwepo hapo kabla, sasa lipo, na hata likivunjwa litajengwa tena, na tena na tena..Urusi sio libyaHili Daraja si limemalizika kurekebishwa juzi tu baada ya kulipuliwa mwaka Jana,Leo tena limelipuliwa. Doh!
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Haitaisha mpaka pale kutakapokua na buffer zone inayoitenga Urusi na nchi za NATO, vita Itaenea hadi finland kwakua imejiunga NATOHii vita inaisha lini
Ile ilikia trick ya kuwavuta wanazi waliokuwa wamekazana kuweka kambi Kherson...na kweli wakarudi Kyv mbiombio..kilichotokea Kherson unakijua vizuri..Putin sio Zelenskykwa kweli tulisubiri sana afumue hako kainchi ka-Ukraine, kamemlezama hadi naumwa kwa raha, mimi mwanzoni niliingiwa hofu sana nilipoona msafara unakwenda Kyiv, ila ulivyofumuliwa na wabeba javelin, hehehe huwa nacheka sana kila nikikumbuka.
Atoke aende wapi? Pale ndio katia mguu..ni kama wewe uende kununua kiwanja mahali...unakiacha unaondoka au unaanza ujenzi? Kuna apparments anajenga na zingine anafanyia renovation ndani ya miji aliyoshikilia..hujiulizi tuu anajenga hizo appartments kwa sababu gani? Kiwanja ni chake kwa sasa na ana hati zote, kuanzia serikali ya mitaa hadi wizara ya ardhi pale ukrain..Imekuwa kaa la moto si atatokaje tokaje
kwa kweli tulisubiri sana afumue hako kainchi ka-Ukraine, kamemlezama hadi naumwa kwa raha, mimi mwanzoni niliingiwa hofu sana nilipoona msafara unakwenda Kyiv, ila ulivyofumuliwa na wabeba javelin, hehehe huwa nacheka sana kila nikikumbuka.
Bado mnasumbuliwa na Wargner tu Russia Army haijaja bado vitanikwa kweli tulisubiri sana afumue hako kainchi ka-Ukraine, kamemlezama hadi naumwa kwa raha, mimi mwanzoni niliingiwa hofu sana nilipoona msafara unakwenda Kyiv, ila ulivyofumuliwa na wabeba javelin, hehehe huwa nacheka sana kila nikikumbuka.
Marekani na wadau wengine kuisaidia Ukraine kusafirisha ngano yake baada ya Urusi kujitoa .Kutokana na kulipuliwa Kwa daraja, Putin amesusa kusambaza ngano
Mytake:Kama Putin anatumia daraja kupitisha silaha ili kushambulia Ukraine kwanini lisilengwe?
+
++Ikulu ya Urusi Kremlin imesema hii leo kuwa inajiondoa kwenye makubaliano ya usafirishaji nafaka za Ukraine kupitia Bahari Nyeusi, saa chache baada ya ndege zisizo na rubani kushambulia daraja la Kerch ambalo ndilo pekee linaloiunganisha Urusi na Rasi ya Crimea. Makubaliano hayo muhimu ambayo kwa mwaka jana pekee yalisaidia kusafirishwa kwa shehena ya tani milioni 32 za nafaka, yalifikiwa ili kupunguza hofu ya uhaba wa chakula duniani hasa katika nchi zilizo hatarini zaidi. Ni zipi athari za uamuzi huu hususan kwa mataifa ya Afrika?
+++Umoja wa Ulaya hii leo umekutana na viongozi wa Amerika ya Kusini na visiwa vya Karibiki, huku wakiwa na matumaini ya kurejesha upya uhusiano ulioingia doa kufuatia mgawanyiko mkubwa juu ya biashara na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Kwenye mazungumzo yao, Umoja wa Ulaya umeashiria kufanya uwekezaji mkubwa kwenye mataifa ya kanda hizo kwenye miradi mbalimbali.
Source: DW Kiswahili
Unataka tujadiliane nini ambacho nikipya kwenye hiyo vita aliyoianzisha Putini?Unakumbuka kilichotokea waliposhambulia hilo daraja au ndio tunaanza upya kuambiana.
Kama huna kumbukumbu au hujui kilichotokea kagugo au waulize wenzako ndio uje tujadiliane
Huo ni ugonjwa serious,nenda kwa daktari wa saikolojia kabla hali haijawa mbaya zaidi!Miaka miwili sasa mnaandika andika tangu mumuagize Zelensky aihame Ukraine kwa masaa 24.....hehehe takbir
Go get help,huo ugonjwa wa denial sio mzuri kabisa!Mlichagua kuabudu mtume Putin wa mchongo, miaka miwili sasa anawazungusha tu...