figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.