Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daraja la Kigongo-Busisi. Tusipoangalia tutaka tubadilishe majina ya milima, mito, maziwa n.k tuyape majina ya wanasiasa.Na lile la kigongo-busisi tulipe jina la nani mkuu?
Maislamu ndivyo yalivyo. Ulikuwa wapi siku zote? Hao Wapemba unaowanadi wamekamilisha miundo mbinu gani mikubwa nchi hii? Hawakidhi vigezo wote wawili. Hayo majina wape wanao, wajukuu na vitukuu vyako.Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Wee mzee, bora ujenge kamsikiti uuite "Msikiti wa Samia".Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Wewe Mkojani una tatizi mahali! Mimi ni Msukuma tangu lini?Mbona hamkusema haya kwa msukuma mwenzenu magufuli?? Hadi vyoo vya kwenye vituo vya mabasi alitaka viitwe jina lake