DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Wakina nani hao mkuu una wazungumzia ? “ Udini wenu na Ukabila ” wakina nani hao mkuu ?Mngeyasema haya kipindi Cha magufuli wanafiki wakubwa nyie na udini wenu na ukabila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani hao mkuu una wazungumzia ? “ Udini wenu na Ukabila ” wakina nani hao mkuu ?Mngeyasema haya kipindi Cha magufuli wanafiki wakubwa nyie na udini wenu na ukabila
Huyo mwingine alijenga kwa hela yake mfukoni?? Hivi nyie wafuasi wa jiwe mmerogwa eeeh!!Acha upumbavu Sasa Samia ilihali alijenga mwingine. Acha libakie hivyo hivyo Wami
Afanye mwingine aitwe mwingine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Daraja litaitwa SAMIA BRIDGE" hizo mimba zenu ikibidi mjifungue tu kabla ya muda kwa kuchukizwa.Wakina nani hao mkuu una wazungumzia ? “ Udini wenu na Ukabila ” wakina nani hao mkuu ?
Alijenga kwa hela yake ya mfukoni huyo mungu wenu?? Litaitwa SAMIA BRIDGE,Afanye mwingine aitwe mwingine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu, siku njema.Daraja litaitwa SAMIA BRIDGE" hizo mimba zenu ikibidi mjifungue tu kabla ya muda kwa kuchukizwa.
litaitwa SAMIA BRIDGE" mkichukia mkafie mbaliSasa unazani tutaita majina ya kila mtu?
Mkuu wewe unachukia Nini daraja likiitwa kwa jina la Rais wa Sasa? Mi sikufahamu ila tambua mi mkubwa wako huko ulipo,Sawa mkuu, siku njema.
: Lakini siku nyingine jitahidi kutumia lugha zenye staha kwa watu usio wafahamu.
Aaaa wapi/ Kitu cha wami hiko.litaitwa SAMIA BRIDGE" mkichukia mkafie mbali
Hivi Tanzania watu wanaostahili kuenziwa ni wana siasa peke yao? Hasa kutoka chama tawala.Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Basi litaitwa Mrema bridgeHivi Tanzania watu wanaostahili kuenziwa ni wana siasa peke yao? Hasa kutoka chama tawala.
Amandla...
Mrema sio mwanasiasa?Basi litaitwa Mrema bridge
Bora ungeshauri apewe hilo daraja kuliko jina lake kulala porini kwenye mamba wanaomeza nondo za daraja na kusababisha lisikamilike.Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Kwanini tusibadilishe jina la Jamhuri badala ya Tanzania tuiite Magufuli!!Kwanini mgawanye nchi kwa majina yenu? Kwani ikiitwa daraja la Wami kuna shida gani? Au kuna shida ikiitwa daraja la Kurasini? Yaani wananchi tukatwe tozo tujenge daraja afu from no where iitwe Samia?! Hii tabia naona inakithiri nchi hii. Mara Kijazi, mara Magufuli. Ya nini?
Mnadumaza history KWa vizazi vijavyo ,na majina yenu hayo, kwani ujenzi UKIFANYIKA Kuna kiongozi anatoa pesa mfukoni mwakwe ? Nyie vipi we unafikili mpaka jina mto wani lipo mnajua KWa nini waliita jina hilo , ipo siku Mtaita hata Mlima Kilimanjaro mlima wa jk, pinda, au Tulia mnapoelekea sipo 2025 mkiondoka majina haya ya kujipendekeza lazima yafutweSalaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Ni hatua mbaya tumefikia kama nchi. Zamani wanafunzi wanaenda shule ya Sekondari Magamba, Tosamaganga, Minaki, Weruweru, Ilboru, Kibaha, Mzumbe etc. Ghafla ikageuka Fredrick Sumatra secondary school, Benjamin Mkapa, Pius Msekea sekondari! Aiseee?l Hivi mtoto anafauluje kutoka shule inaitwa Benjamin Mkapa sec school? Au Fredrick Sumaye?! Ujinga. Sasa wanakuja na daraja la Kijazi, Magufu, sijui Mfugale flyover. Ni nini hii?! Tulipe kodi sisi, majina watajwe wao? Bila Kodi yetu hizo structures zingejengwaje?Kwanini tusibadilishe jina la Jamhuri badala ya Tanzania tuiite Magufuli!!
Mmaonaje!!
Na mlima Kilimanjaro tuutafutie jina la mwanasiasa.
Vipi l uhusu Norongoro na Manyara!
Hakuna wanasiasa wenye hamu kupawa wakina (namesakes) wa Mali asili hizi ?
Alisikika mlevi moja akubwatuka maneno haya.