Daraja la Wami liitwe Samia na Flyover ya Kurasini iitwe Mwinyi

Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.

View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Nonsense
 
'Kwa hiyo wewe housegirl wako akikupikia chakula vizuri utabadilisha jina la jiko lako na kuliita kwa jina lake?'
Samahani, hiyo nimeinukuu Toka Kwa mchangiji mmojawapo.
 
Shida ni ile ofa ya kufyatua tu watoto eti elimu ni bure.
Na huu ndio moja ya uzuzu mkubwa nchi imefanya, uchumi ukue kwa 4.5%,na population iongezeke kwa 3.3%,it's craze...working class wetu walio wengi ni mazuzu na kutwa kukimbiza viajira na vi interview uchwara humu!
 
Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.

View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Ukumbuke kumpongeza Magufuli pia.
 
Naunga mkono hoja hii
 
Kwa kuongezea NHC nayo tuibadilishe jina iitwe "NEHEMIA MCHECHU HOUSING CORPORATION" 🤣🤣🤣🏃🏃
 
Salaam Wakuu,
View attachment 2382402
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.

View attachment 2382393
Pia Mzee wetu Mwinyi jina lake liwekwe pale Flyover ya Kurasini kama ishara ya Upendo. Flyover ya Kurasini ni ndoto ya mzee Mwinyi ya siku nyingi.
Exactly, na ukichukulia itachukua miaka mingi kuja kupata Rais mwanamke
 
Kwani likiendelea kuitwa Daraja la Wami, shida iko wapi? Sijui ni kwa nini ngozi nyeusi mnapenda sana kuendekeza mambo ya kipuuzi.
Mbona hamkusema haya kwa msukuma mwenzenu magufuli?? Hadi vyoo vya kwenye vituo vya mabasi alitaka viitwe jina lake
 
Tate Mkuu asante sana. ngozi nyeusi tuna laana. sasa na hili la kuweka hapa? figganigga mbona rafiki yangu nakuamini unaanza kuniangusha? Samia kafanya nini la kumkumbuka, let us be sincere? figganigga leo umeniangusha! Angelileta mapinduzi ya demokrasi labda angelifikiriwa, anayofanya hata Steve Nyerere akiwa rais (kwa Tanzania in particular) anaweza kufanya
Mshauri huyo rafiki yako amuite mke wake Samia afarijike.
 
Back
Top Bottom