Daraja la Wami liitwe Samia na Flyover ya Kurasini iitwe Mwinyi

Nonsense
 
'Kwa hiyo wewe housegirl wako akikupikia chakula vizuri utabadilisha jina la jiko lako na kuliita kwa jina lake?'
Samahani, hiyo nimeinukuu Toka Kwa mchangiji mmojawapo.
 
Shida ni ile ofa ya kufyatua tu watoto eti elimu ni bure.
Na huu ndio moja ya uzuzu mkubwa nchi imefanya, uchumi ukue kwa 4.5%,na population iongezeke kwa 3.3%,it's craze...working class wetu walio wengi ni mazuzu na kutwa kukimbiza viajira na vi interview uchwara humu!
 
Ukumbuke kumpongeza Magufuli pia.
 
Naunga mkono hoja hii
 
Kwa kuongezea NHC nayo tuibadilishe jina iitwe "NEHEMIA MCHECHU HOUSING CORPORATION" 🤣🤣🤣🏃🏃
 
Exactly, na ukichukulia itachukua miaka mingi kuja kupata Rais mwanamke
 
Kwani likiendelea kuitwa Daraja la Wami, shida iko wapi? Sijui ni kwa nini ngozi nyeusi mnapenda sana kuendekeza mambo ya kipuuzi.
Mbona hamkusema haya kwa msukuma mwenzenu magufuli?? Hadi vyoo vya kwenye vituo vya mabasi alitaka viitwe jina lake
 
Mshauri huyo rafiki yako amuite mke wake Samia afarijike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…