Daraja la Wami liitwe Samia na Flyover ya Kurasini iitwe Mwinyi

Liitwe daraja la Gen. Abdallah Twalipo
 
Wami liitwe Christopher Mwakasege
Kurasini liitwe Moses Kulola
 
Hata hifadhi ya BURIGI-CHATO natamani jina libadilishwe
 
Maislamu ndivyo yalivyo. Ulikuwa wapi siku zote? Hao Wapemba unaowanadi wamekamilisha miundo mbinu gani mikubwa nchi hii? Hawakidhi vigezo wote wawili. Hayo majina wape wanao, wajukuu na vitukuu vyako.
 
Wee mzee, bora ujenge kamsikiti uuite "Msikiti wa Samia".
 
Kwani daraja la Wami likiitwa Shehe Ponda Bridge mtababuka ngozi? Tuheshimuni viongozi wa dini
 
Mbona hamkusema haya kwa msukuma mwenzenu magufuli?? Hadi vyoo vya kwenye vituo vya mabasi alitaka viitwe jina lake
Wewe Mkojani una tatizi mahali! Mimi ni Msukuma tangu lini?

NImeongelea kwa ujumla wake! Hakuna sababu ya msingi ya kuita kila daraja jina la kiongozi! Huu ni ulimbukeni wa kuendekeza utukufu usio na sababu, kwa baadhi ya watu.
 
Mleta mada ametumwa asome vipimo vya hali ya hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…