Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,145
Bado
Bado
bado, inategemewa si muda mrefu litatengemaa na zitaanza kati ya leo usiku au kesho asubuhi.
Kwani jeshi si ndo kazi zake lilikuwa wap siku zote hizoWazir mkuu ametembelea daraja amesema ni uzembe,kaagiza jeshi zima liinglie kati kutatua changamoto,ndani ya mda mfup liwe daraja limepatikana..njia zitafutwe pembezon,kushoto kulia ili magar yaendeleee kupita wakat daraja linatengenezwa