Njia ya iringa hivi unajua ni ndefu zaid ?kuna km nying sana zitamgharimu
Njia ya iringa hivi unajua ni ndefu zaid ?kuna km nying sana zitamgharimu
AmekurupukaViongozi hawajaongea? Acha zako mzee... Tangu jana RC wa moro ameeleza njia mbadala za kupita
Mafuta aliishakadiria sasa atafanyaje?
Sasa kulala dodoma wiki nzima, kurudi alipotoka au kupasua hizo km mpaka afike aendako kipi kina afadhari?Njia ya iringa hivi unajua ni ndefu zaid ?kuna km nying sana zitamgharimu
Ana potion tatu tu.Mafuta aliishakadiria sasa atafanyaje?
Yes (OPTION) simu hizi bila kuwa makini zinaandika matusi kabisa.Daah haya! ila itakuwa option nadhani
Halijaondoka na gari hilo daraja? Hivi hakuna kesi ya kujibu mkandarasi kanjanja hapo kweli?
Daraja gani lisilokuwa na beam? Lilikuwepo tu hapo likielea hewani kama paa la nyumba ya matope!
Kama hakuna ajali iliyopatikana hapo, kweli Mungu ni mkuu kaepushia mabalaa waja wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
kule Korea kaskazini tulizoea maonyesho ya kijeshi msimuliaji akieleza kuna magari ya kujenga madaraja ya dharula hasa baada ya majanga kama haya au adui kubomoa madaraja.Porini huo mto utauvukaje bwashee? Au unamaanisha waweke Pantoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo imepark pale terminal IINdege zetu sasa ndiyo muda wake kufanya kazi ya kuwasaidia abiria
In God we Trust
Hata asingeifunga bado magari yasingepita. Nilitegemea aje na stop gape measure almaaruf plan B.Active add this to the title of the post>>#BREAKINGNEWS:Mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw. Loatha Ole Sanare ametangaza kufungwa kwa barabara ya Dodoma-Morogoro kutokana na kukatika kwa daraja la Kiyegeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kulikua na awamu za kitoto? Kama ipi kwa mfano.....ya Nyerere au che Nkapa?Ndio sababu walienda JKT kabla ya kuanza chuo hivyo hapo ni kuogelea kijeshi. Hii awamu si ya kitoto mkuu makofi tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huishi kwa mabeberu basi umesoma kwao. Binafsi nilitaka kuandika kama hivi.Ni ajabu tangazo la jambo kubwa kama hili kuandikwa bila details ulizoainisha.digba sowey, Hii ni barabara kuu inayounganisha Makao Makuu mapya ya Nchi, Dodoma na Dar es Salaam; na zone nzima ya magharibi mwa TZ mpaka nchi kadhaa za jirani upande huo.
Tangazo la TANROADS lilipasa kuonyesha umuhimu na uzito wa tukio hili kwa wadau wa nchini na wa kanda nzima ya Africa kama ifuatavyo:
1. Location ya daraja/mto katika ramani ya TZ.
2. Distance (in miles/kilometers) kutoka DSM hadi lilipo daraja au mto. Distance toka Dodoma hadi hapo.
3. Ramani ionyeshe alternative routes zote za ku-connect Dodoma na DSM sio Iringa peke yake.
4. Distance za alternative routes pia kwa kilometers/miles na kiwango cha barabara, kama ni lami au sivyo.
5. Matengenezo yatakamilika kwa muda gani au njia hiyo itafunguliwa lini.
Taarifa ya aina hii inasaidia watumiaji wote wa barabara hii, wa ndani na nje ya nchi kujua mambo hayo muhimu kwa wasafiri na wasafirishaji ili wafanye mipango ya shughuli zao vizuri zaidi.
Na hiki (at least) ndicho anachotakiwa kufanya mtu mwenye hadhi ya Mtendaji Makuu wa TANROADS.
Sent using Jamii Forums mobile app