ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Kuna short-cut ingine ya turiani morogoro ila ni kwa gari ndogo ila iwe 4x4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndugu mwandishi huogopi kushitakiwa kwa kuhujumu uchumi wa nchi!?
Dah! nchi ngumu hii hatari. eti "ng'wiiiiiii ng'wiiiiiiiiii". Yaani nimecheka hatari.Bora tupumzike,Mungu kasikia kilio chetu manake viongozi wa kitaifa wanatusumbuaga sana kwa kutuweka mifoleni ya muda mrefu wakitumiaga njia hii kutoka huko mji mkuu,ikibidi hali iwe hvyo hvyo kwa mwezi mzima mbele aisee.
Mara utasikia miving'ora yao tu ng'wiiiiiii ng'wiiiiiiiiii
Ni juhudi za awamu ya tano katika kutokomeza njaa hivyo imeleta mvua za uhakika. Pongezi kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana tuDaraja hilo la awamu ya nne, awamu ya tano hakuna vitu kama hivyo.
Kwani wachina wameshaondoka?! Muwaite wajenge, daraja kitu gani?!
weka picha kabisa ili tukushtaki vizuri kwa kuhujumu uchumi
Kwani unafikiri nani anaweza kukushtaki?
Mwanachuo Dodoma washamaliza Boom na mitihani imeisha watakufa na njaa.
Portfolio | 2020
Kwani Dar lux wana bus moja tu?Hapo Abiria wa wanaotoka Mwanza washalala na Abiria wanaoenda mwanza kesho hasa kampuni ya Dar lux washafeli maana gari inayotegemewa haitavuka..
Hivi hakuna njia mbadala hapa(siyo ya iringa) kuchepuka hapo hata kama ya porini.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unatoka machimboni?