mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Juzi kati tu nmepita hapo. Dah naona sahv wa hku wa huku wa kule wa kule
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushukuru kwa kila jambo.Tunashukuru Mvua kwa kutuvunjia daraja,wazee wa kilosa tumieni fursa kufanya biashara ya mabasi kwa wale waliokwama wauzieni chakula.Nimemiss kilosa aisee.
Ahsante JPM mvua ya baraka imenyesha kwa ajili ya utukufu wa awamu ya 5.Ahsante baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unatoka machimboni?Juzi kati tu nmepita hapo
Dah naona sahv wa hku wa huku wa kule wa kule
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kufa njaa,kwa wanaonda Dsm wanapita Mtera wanaingia Iringa kutokea hapo maisha yanaendelea. Ama laaaa wanabadili pa kwenda . Sema tu gharama ya maisha inaweza ongezeka kidogo kwa wasafiri waliokuwa wakitumia njia hiyo na bidhaa hali kadhalika.Mwanachuo Dodoma washamaliza Boom na mitihani imeisha watakufa na njaa.
Portfolio | 2020
Hayo macho yako si ya kizalendo mkuu, ni lazima usifie juhudi za hii serikali katika kutokomeza adui yetu mkuu njaa
Ndio sababu walienda JKT kabla ya kuanza chuo hivyo hapo ni kuogelea kijeshi. Hii awamu si ya kitoto mkuu makofi tafadhaliMwanachuo Dodoma washamaliza Boom na mitihani imeisha watakufa na njaa.
Portfolio | 2020