Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara

Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara

Maendeleo ya daraja vipi jamani?

Watu tumechoka kukaa Dar, tunataka kurudi makwetu.
 
digba sowey, Hii ni barabara kuu inayounganisha Makao Makuu mapya ya Nchi, Dodoma na Dar es Salaam; na zone nzima ya magharibi mwa TZ mpaka nchi kadhaa za jirani upande huo.

Tangazo la TANROADS lilipasa kuonyesha umuhimu na uzito wa tukio hili kwa wadau wa nchini na wa kanda nzima ya Africa kama ifuatavyo:

1. Location ya daraja/mto katika ramani ya TZ.

2. Distance (in miles/kilometers) kutoka DSM hadi lilipo daraja au mto. Distance toka Dodoma hadi hapo.

3. Ramani ionyeshe alternative routes zote za ku-connect Dodoma na DSM sio Iringa peke yake.

4. Distance za alternative routes pia kwa kilometers/miles na kiwango cha barabara, kama ni lami au sivyo.

5. Matengenezo yatakamilika kwa muda gani au njia hiyo itafunguliwa lini.

Taarifa ya aina hii inasaidia watumiaji wote wa barabara hii, wa ndani na nje ya nchi kujua mambo hayo muhimu kwa wasafiri na wasafirishaji ili wafanye mipango ya shughuli zao vizuri zaidi.
Na hiki (at least) ndicho anachotakiwa kufanya mtu mwenye hadhi ya Mtendaji Makuu wa TANROADS.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna tangazo la kizembe nililowahi kuliona kama hilo tangazo la Tanroad, kilichojitokeza ni picha/Image mbovu ya taasisi hiyo
 
Back
Top Bottom