Wazir mkuu ametembelea daraja amesema ni uzembe,kaagiza jeshi zima liinglie kati kutatua changamoto,ndani ya mda mfup liwe daraja limepatikana..njia zitafutwe pembezon,kushoto kulia ili magar yaendeleee kupita wakat daraja linatengenezwa

Nimepita hapo muda huu foleni bado ni kubwa pande zote tumetumia Kama 4 hrs kuvuka. Kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo, na vile tangazo lilivyotolewa kwa wepesi.. ni mambo mawili tofauti sana. Unless kulikuwa na nia ya kutotaka hali halisi iwekwe bayana sana.. Kama ni utendaji wa kawaida tu basi taasisi ina menejimenti dhaifu kidogo.