Daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran laangamizwa iran walalama!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq.

Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!!

IMG_20260402_175437_045.jpg

==============

Airstrike detroys bridge linking Tehran and Karaj​

Meanwhile, an airstrike struck a major highway bridge connecting Tehran to the nearby city of Karaj on Thursday afternoon, Iran’s Fars News Agency reported.

The B1 bridge, located along a central transit route between the capital and Karaj, was reportedly damaged in the strike, though the extent of the damage was not immediately clear.

Iranian reports later indicated that power outages were recorded in Karaj around the same time as the strike. Local accounts cited disruptions to electricity infrastructure, though it remains unclear whether the outages were directly caused by the attack on the bridge or by separate strikes.

Source: The Jerusalem Post
 
Wanasema kufa katika mapigano ni kufa Shaheed km ni hiyo Mojtaba Khomenei ajitokeze hadharani abutuliwe afe Shaheed awahi pepeni kupata papuchi 72 ambazo hazijatobolea kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..
 
Baada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq.

Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!!

View attachment 3566352
Wakipigwa wao wasilslamike

Al sabah bridge Kuwait

Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge

UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge

Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge

Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge

Warabu watajuta kumkaribisha USA
 
Wanasema kufa katika mapigano ni kufa Shaheed km ni hiyo Mojtaba Khomenei ajitokeze hadharani abutuliwe afe Shaheed awahi pepeni kupata papuchi 72 ambazo hazijatobolea kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..
Du, weejamaa
 
Mkewe aliuliwa pamoja na baba mkwe...!!!
 
Wakipigwa wao wasilslamike

Al sabah bridge Kuwait

Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge

UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge

Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge

Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge

Warabu watajuta kumkaribisha USA

Siyo rahisi kwa Iran kuangamiza infrastructure za mataifa hayo ya kiarabu kutokana na umbali. Kombora linapokuwa limerushwa toka mbali, inakuwa ni rahisi kulifuatilia na kisha kudunguliwa. Ndiyo maana makombora karibia yote yanayorushwa toka Iran kwenda nchi kama UAE na Saudia, yanadunguliwa.

Ndiyo maana Israel na Marekani, hazipendi kutumia makombora, wanatumia ndege. Makombora ya kurushwa na ndege, siyo rahisi kuyadungua maana yanashushwa eneo la karibu sana. Ndiyo sababu huwezi kusikia kombora la Israel limedunguliwa na Iran.
 
Makombora ya Israel yanashuka kama upepo, hawa jamaa ni hatari
 
Wakipigwa wao wasilslamike

Al sabah bridge Kuwait

Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge

UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge

Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge

Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge

Warabu watajuta kumkaribisha USA
Mpaka muiran amalizane na makafiri, basi nchi za kiarabu zitakua zimejifunza sana kupitia viti hivi, na huenda wakajiondoa kabisa kwa shimo la moto/mayahudi na marekani.
 
Wanasema kufa katika mapigano ni kufa Shaheed km ni hiyo Mojtaba Khomenei ajitokeze hadharani abutuliwe afe Shaheed awahi pepeni kupata papuchi 72 ambazo hazijatobolea kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..
Si Trump ameshasema wamempiga bomu.... au Mossad wamefeli kujua yuko wapi?
 
Usiwe na kichwa kizito angalia juu ya daraja kuna vitu gani?

Kuna Cranes, containers, hoists, scaffolds na kadhalika.

Umeleta picha ambayo weye mwenyewe hujaichungua kwa makini.

Soma pia X ya Araghchi FM wa Iran.
Wafuga midevu na majini mna matatizo sana nimekuambia utuletee hapa hizo habari wewe umeanza kubwabwaja tu.

Angalia hilo daraja hapo mpaka lina kutu wewe unadai jipya na lina zege mbichi!!

Hivi kwa nini ninyi ni watu waongo waongo sana?

Mkipigwa kwenye uwanja wa mapambano daima hamkosi visingizio sijui ninyi mmeumbwaje tu!!!
 
Siyo rahisi kwa Iran kuangamiza infrastructure za mataifa hayo ya kiarabu kutokana na umbali. Kombora linapokuwa limerushwa toka mbali, inakuwa ni rahisi kulifuatilia na kisha kudunguliwa. Ndiyo maana makombora karibia yote yanayorushwa toka Iran kwenda nchi kama UAE na Saudia, yanadunguliwa.

Ndiyo maana Israel na Marekani, hazipendi kutumia makombora, wanatumia ndege. Makombora ya kurushwa na ndege, siyo rahisi kuyadungua maana yanashushwa eneo la karibu sana. Ndiyo sababu huwezi kusikia kombora la Israel limedunguliwa na Iran.
Hahahahahaaaaa nenda ukaone UAE ilivyo pigwa na Baharain pia Kuwait.

Tomahawk zinapigwa Iran hujaona kenge wewe
 
Back
Top Bottom