zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mzee wa fake news naona umedakwa hahahaha.Tuletee hapa udhibitisho huo!!
Mzee wa fake news naona umedakwa hahahaha.Tuletee hapa udhibitisho huo!!
BBC inasema daraja halitumiki lipo kwenye ujenzi bado halijaisha kujengwa. Ni sawa na mtu alipue kigongo-busisi kabla halijakamilika.Huo ndiyo umbeya unaokusumbua!!
Mleteni Majitaka Khamenei tumuone!!
Nimekuuliza Majitaka Khamenei mmlete wewe unaleta ya daraja tena!!BBC inasema daraja halitumiki lipo kwenye ujenzi bado halijaisha kujengwa. Ni sawa na mtu alipue kigongo-busisi kabla halijakamilika.
Mzee wa fake news umedakwa tena!!
Source: BBC Updates: Iranian bridge cut in half by strike as Trump warns ‘more to follow’
Hivi wewe unayajua makombora ya Iran wewe? Makombora ya Sasa new generation Iran anatuma mawili TU na yote yana hit targetsSiyo rahisi kwa Iran kuangamiza infrastructure za mataifa hayo ya kiarabu kutokana na umbali. Kombora linapokuwa limerushwa toka mbali, inakuwa ni rahisi kulifuatilia na kisha kudunguliwa. Ndiyo maana makombora karibia yote yanayorushwa toka Iran kwenda nchi kama UAE na Saudia, yanadunguliwa.
Ndiyo maana Israel na Marekani, hazipendi kutumia makombora, wanatumia ndege. Makombora ya kurushwa na ndege, siyo rahisi kuyadungua maana yanashushwa eneo la karibu sana. Ndiyo sababu huwezi kusikia kombora la Israel limedunguliwa na Iran.
Kwa kusifia tu walioshindwa mnaweza sana!!Hivi wewe unayajua makombora ya Iran wewe? Makombora ya Sasa new generation Iran anatuma mawili TU na yote yana hit targets
Ahaa weye ndo walewale.Wafuga midevu na majini mna matatizo sana nimekuambia utuletee hapa hizo habari wewe umeanza kubwabwaja tu.
Angalia hilo daraja hapo mpaka lina kutu wewe unadai jipya na lina zege mbichi!!
Hivi kwa nini ninyi ni watu waongo waongo sana?
Mkipigwa kwenye uwanja wa mapambano daima hamkosi visingizio sijui ninyi mmeumbwaje tu!!!
Sawa umepiga daraja muajemi ameishusha nzima nzima Baharini piga hesabu daraja sh ngapi na F16 sh ngapiKwa kusifia tu walioshindwa mnaweza sana!!
Hata kwa magaidi ya Hamas,Hezbollah na Hoth mlikuwa mnawasifia hivihivi lakini leo mnaona aibu!!
Sawa Malkia Zumaridi, Mke halali wa Netanyahu tumekusikiaBaada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq.
Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!!
View attachment 3566352
Propaganda uchwara hizo weka picha kama ni kweli maana uongo ninyi ni hodari sana!!!Sawa umepiga daraja muajemi ameishusha nzima nzima Baharini piga hesabu daraja sh ngapi na F16 sh ngapi
*************************
🚨🇮🇱/🇺🇸/🇮🇷 BREAKING: Iran has shot down another US/Israeli fighter jet, over Qeshm, which sunk in the Persian Gulf!
@Palestine_Updates
Sentensi hii ndiyo inaonyesha uongo wenu ulipo kwa hiyo mnaogopa watu watawaomba ushahidi mkaona bora mseme imezama kwenye maji ili ushahidi usiwepo?After being hit, this fighter jet crashed in the area between Hengam Island and Qeshm Island and sank into the depths of the Persian Gulf waters.”
Iran kazishusha zaidi ya 10, nyingine mnajidai eti friend fire, friend fire ndege 3? Msikilize trump aliyesema kamalizwa mpango wa nyuklia Iran na ulitamba Sana humu nyuklia umemaliza Leo hii ana panga kwenda kufukua aichukue, general wake kamwambia unaota mchana wewe Sasa general kafutwa kaziWampate kwanza Majitaka Khamenei
Huyo pilot hawawezi kumpata maana hakuna ndege-vita iliyoangushwa!!!