Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ingekua mifumo ya muiran imeangamizwa mashambulizi ya viwanda vya ballistic kisingebaki Hata kimoja maana mngeshambulia Kwa karibu zaidi, msingekua mnarusha km 900 nje ya Iran, ndege zinarusha zikiwa mbali mno ndio maana bunker buster haziwezi kufumuaSentensi hii ndiyo inaonyesha uongo wenu ulipo kwa hiyo mnaogopa watu watawaomba ushahidi mkaona bora mseme imezama kwenye maji ili ushahidi usiwepo?
Sisi si watoto wadogo mleteni huyo rubani au mtupie picha yake hapa tuone!!
Najua mtasema rubani amedumbukia kwenye maji na ndege yake!!! Wajinga nyie!! Iran hana uwezo wa kudungua ndege yoyote ya Israel maana tunajua mifumo yake ya ulinzi wa anga ilishaangamizwa from day one!!
Acha fake news yaani daraja halitumiki ila unafungulia uzi kuonyesha ni hasara kubwa sijui imekata mawasiliano!!Nimekuuliza Majitaka Khamenei mmlete wewe unaleta ya daraja tena!!
Khamenei yupo sana tu cha ajabu Mossad na CIA wameshindwa kujua mpaka leo yuko wapi!!Nimekuuliza Majitaka Khamenei mmlete wewe unaleta ya daraja tena!!
Yaani wewe unawaombea ubaya waislam wenzio? alafu ni kama unaondosha Israel asishambuliwe. so Hasira za Iran wazipeleke kwa Muslim Country za waarabu!Wakipigwa wao wasilslamike
Al sabah bridge Kuwait
Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge
UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge
Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge
Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge
Warabu watajuta kumkaribisha USA
Kila siku ndege za Israel zinazunguka Iran na kupiga popote bila hata tishio lolote wewe unaleta story gani tena?Ingekua mifumo ya muiran imeangamizwa mashambulizi ya viwanda vya ballistic kisingebaki Hata kimoja maana mngeshambulia Kwa karibu zaidi, msingekua mnarusha km 900 nje ya Iran, ndege zinarusha zikiwa mbali mno ndio maana bunker buster haziwezi kufumua
CIA au MOSSAD si kazi yao kujua Majitaka Khamenei yuko wapi yeye anatakiwa ajitokeze hata kama ana mguu mmoja ajitokeze tu. Kwani yeye hataki kufa Shaheed???Khamenei yupo sana tu cha ajabu Mossad na CIA wameshindwa kujua mpaka leo yuko wapi!!
Unasubiri ulipwe!! Subiri sasa wakulipe!!!!Mkumbuke; Uku Bei za mafuta juu ikiwemo Tz na tutarajie mfumuko wa Bei za bidhaa(vyakula) na Nauli...
Na hao washirika/Vibaraka Marekani Waarabu km UAE/Dubai, Bahrain, Kuwait,Qatar, (kdgo na Jordan na Saudi Arabia ambao hawaja athirika sana lbd kdgo sekta hoteli,utalii na Usafiri anga) Je Marekani na Israel watawalipa fidia kutokana na uharibifu na madhara ya Vita??...
Iran huyo mnasema Hana "threat" Tena lakini Bado wanamlipua, so sidhan km anaweza au atakubali kulipa fidia yoyote, sana sana yy ndo anastahili alipwe lkn sbbu UN nayo ipo chini Mabeberu...
Mara ooh tutamgeuza awe km zama za "Stone age" Wanasau wale ni wa Persian ni Ancient Civilization Duniani na trump wali m mock
Haya mmarekani mwenyewe kakubaliSentensi hii ndiyo inaonyesha uongo wenu ulipo kwa hiyo mnaogopa watu watawaomba ushahidi mkaona bora mseme imezama kwenye maji ili ushahidi usiwepo?
Sisi si watoto wadogo mleteni huyo rubani au mtupie picha yake hapa tuone!!
Najua mtasema rubani amedumbukia kwenye maji na ndege yake!!! Wajinga nyie!! Iran hana uwezo wa kudungua ndege yoyote ya Israel maana tunajua mifumo yake ya ulinzi wa anga ilishaangamizwa from day one!!
Hapo ni wapi marekani kakubali?Haya mmarekani mwenyewe kakubali
*****************
🇮🇱🇺🇸❌🇮🇷 — Axios reports that the F-15E jet which was shot down over Iran consists of two pilots.
An ejection seat was reportedly found somewhere in Iran
@GeoPWatch
Kwahio AXIOS ni wajinga? Na waongo? Basi sawaHapo ni wapi marekani kakubali?
Hakuna sehemu yeyote hapo marekani amekiri.
Wajinga tu ndiyo unaweza kuwaaminisha uongo huu!!
Nasikia rubani wamekimbia bado mnawakimbiza tu? Na kama mmewapata tupieni picha zao tuwaone na sisi tuamini kuwasi TAQIYYAH
Wakipigwa wao wasilslamike
Al sabah bridge Kuwait
Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge
UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge
Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge
Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge
Warabu watajuta kumkaribisha USA