Wakipigwa wao wasilslamikeBaada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq.
Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!!
View attachment 3566352
Du, weejamaaWanasema kufa katika mapigano ni kufa Shaheed km ni hiyo Mojtaba Khomenei ajitokeze hadharani abutuliwe afe Shaheed awahi pepeni kupata papuchi 72 ambazo hazijatobolea kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..
Mkewe aliuliwa pamoja na baba mkwe...!!!Wanasema kufa katika mapigano ni kufa Shaheed km ni hiyo Mojtaba Khomenei ajitokeze hadharani abutuliwe afe Shaheed awahi pepeni kupata papuchi 72 ambazo hazijatobolea kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..
Wakipigwa wao wasilslamike
Al sabah bridge Kuwait
Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge
UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge
Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge
Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge
Warabu watajuta kumkaribisha USA
Hilo daraja ni jipya na liko katika kujengwa na lilikuwa likamilike mwezi Juni mwaka huu.Wameshindwa kumaliza nyukilia, Jessica na kuubadili utawala Sasa wamegeukia miundombinu ya kiraia!!
Fuatilia habari, hilo daraja liko kwenye ujenzi bado lajengwa.Hayo yote mpaka zege mbichi umeyatoa wapi?
Huu utakuwa umbeya sasa wapi hayo yameandikwa?
Tuletee hapa udhibitisho huo!!
Makombora ya Israel yanashuka kama upepo, hawa jamaa ni hatariSiyo rahisi kwa Iran kuangamiza infrastructure za mataifa hayo ya kiarabu kutokana na umbali. Kombora linapokuwa limerushwa toka mbali, inakuwa ni rahisi kulifuatilia na kisha kudunguliwa. Ndiyo maana makombora karibia yote yanayorushwa toka Iran kwenda nchi kama UAE na Saudia, yanadunguliwa.
Ndiyo maana Israel na Marekani, hazipendi kutumia makombora, wanatumia ndege. Makombora ya kurushwa na ndege, siyo rahisi kuyadungua maana yanashushwa eneo la karibu sana. Ndiyo sababu huwezi kusikia kombora la Israel limedunguliwa na Iran.
Mpaka muiran amalizane na makafiri, basi nchi za kiarabu zitakua zimejifunza sana kupitia viti hivi, na huenda wakajiondoa kabisa kwa shimo la moto/mayahudi na marekani.Wakipigwa wao wasilslamike
Al sabah bridge Kuwait
Baharain and Saud Arabia King Fahad Bridge
UAE Sheikh Zaid Bridge, Sheikh Khalifa Bridge na Taqatah Bridge
Jordan Prophet king Hussein Bridge, Adnan Bridge and West Bank Bridge
Huko Israel sijaona target labda hawana Bridge
Warabu watajuta kumkaribisha USA
Walenge military targets lakini si kudungua miundombinu ya civilian kama hilo daraja, mahospitali, shule ( na kuua watoto 155) na viwanda vya madawa.Makombora ya Israel yanashuka kama upepo, hawa jamaa ni hatari
Si Trump ameshasema wamempiga bomu.... au Mossad wamefeli kujua yuko wapi?Wanasema kufa katika mapigano ni kufa Shaheed km ni hiyo Mojtaba Khomenei ajitokeze hadharani abutuliwe afe Shaheed awahi pepeni kupata papuchi 72 ambazo hazijatobolea kuliko kuhangaika na papuchi ya mkewe pana kama handaki la Hamas..
Wafuga midevu na majini mna matatizo sana nimekuambia utuletee hapa hizo habari wewe umeanza kubwabwaja tu.Usiwe na kichwa kizito angalia juu ya daraja kuna vitu gani?
Kuna Cranes, containers, hoists, scaffolds na kadhalika.
Umeleta picha ambayo weye mwenyewe hujaichungua kwa makini.
Soma pia X ya Araghchi FM wa Iran.
Hahahahahaaaaa nenda ukaone UAE ilivyo pigwa na Baharain pia Kuwait.Siyo rahisi kwa Iran kuangamiza infrastructure za mataifa hayo ya kiarabu kutokana na umbali. Kombora linapokuwa limerushwa toka mbali, inakuwa ni rahisi kulifuatilia na kisha kudunguliwa. Ndiyo maana makombora karibia yote yanayorushwa toka Iran kwenda nchi kama UAE na Saudia, yanadunguliwa.
Ndiyo maana Israel na Marekani, hazipendi kutumia makombora, wanatumia ndege. Makombora ya kurushwa na ndege, siyo rahisi kuyadungua maana yanashushwa eneo la karibu sana. Ndiyo sababu huwezi kusikia kombora la Israel limedunguliwa na Iran.