Daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran laangamizwa iran walalama!!

  • *TRUMP: WE WILL NOT LET MID EAST ALLIES GET HURT OR FAIL
  • *TRUMP: WILL HIT IRAN EXTREMELY HARD OVER NEXT 2-3 WEEKS
  • *TRUMP: WILL BRING IRAN BACK TO STONE AGE WHERE THEY BELONG
  • *TRUMP: NEW LEADERS IN IRAN LESS RADICAL, MORE REASONABLE
  • *TRUMP: IF THERE IS NO DEAL, WILL HIT IRAN'S ELECTRIC PLANTS
  • *TRUMP: WE HAVE NOT HIT THEIR OIL EVEN THOUGH EASIEST TARGET
  • *TRUMP: WILL HIT IRAN WITH MISSILES IF WE SEE THEM MAKE A MOVE
  • *TRUMP: WE HAVE ALL THE CARDS THEY HAVE NONE
 
Ingekua mifumo ya muiran imeangamizwa mashambulizi ya viwanda vya ballistic kisingebaki Hata kimoja maana mngeshambulia Kwa karibu zaidi, msingekua mnarusha km 900 nje ya Iran, ndege zinarusha zikiwa mbali mno ndio maana bunker buster haziwezi kufumua
 
Nimekuuliza Majitaka Khamenei mmlete wewe unaleta ya daraja tena!!
Acha fake news yaani daraja halitumiki ila unafungulia uzi kuonyesha ni hasara kubwa sijui imekata mawasiliano!!

We jamaa ni mweupe sana, punguza fake news umechosha sasa.
 
Yaani wewe unawaombea ubaya waislam wenzio? alafu ni kama unaondosha Israel asishambuliwe. so Hasira za Iran wazipeleke kwa Muslim Country za waarabu!
 
Mbona kama limepunyuliwa tu? cha kushangaza wanataka kuendelea na vita!
 
Kila siku ndege za Israel zinazunguka Iran na kupiga popote bila hata tishio lolote wewe unaleta story gani tena?

Iran hana mifumo ya ulinzi wa anga maana yote imeangamizwa.
 
Khamenei yupo sana tu cha ajabu Mossad na CIA wameshindwa kujua mpaka leo yuko wapi!!
CIA au MOSSAD si kazi yao kujua Majitaka Khamenei yuko wapi yeye anatakiwa ajitokeze hata kama ana mguu mmoja ajitokeze tu. Kwani yeye hataki kufa Shaheed???
 
Mkumbuke; Uku Bei za mafuta juu ikiwemo Tz na tutarajie mfumuko wa Bei za bidhaa(vyakula) na Nauli...
Na hao washirika/Vibaraka Marekani Waarabu km UAE/Dubai, Bahrain, Kuwait,Qatar, (kdgo na Jordan na Saudi Arabia ambao hawaja athirika sana lbd kdgo sekta hoteli,utalii na Usafiri anga) Je Marekani na Israel watawalipa fidia kutokana na uharibifu na madhara ya Vita??...
Iran huyo mnasema Hana "threat" Tena lakini Bado wanamlipua, so sidhan km anaweza au atakubali kulipa fidia yoyote, sana sana yy ndo anastahili alipwe lkn sbbu UN nayo ipo chini Mabeberu...
Mara ooh tutamgeuza awe km zama za "Stone age" Wanasau wale ni wa Persian ni Ancient Civilization Duniani na trump wali m mock
 
Unasubiri ulipwe!! Subiri sasa wakulipe!!!!
 
Haya mmarekani mwenyewe kakubali
*****************
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธโŒ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท โ€” Axios reports that the F-15E jet which was shot down over Iran consists of two pilots.

An ejection seat was reportedly found somewhere in Iran

@GeoPWatch
 
Hapo ni wapi marekani kakubali?

Hakuna sehemu yeyote hapo marekani amekiri.

Wajinga tu ndiyo unaweza kuwaaminisha uongo huu!!

Nasikia rubani wamekimbia bado mnawakimbiza tu? Na kama mmewapata tupieni picha zao tuwaone na sisi tuamini kuwasi TAQIYYAH
 
Kwahio AXIOS ni wajinga? Na waongo? Basi sawa
 

Nafurahi sana Iran kupiga uarabuni kule kwa hiyo dini, mlipuane huko, ikiwezekana kombora lipige lile jini lenu kaaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ