Darasa la kupigilia pamba kijanja

Kila MTU ana falsafa yake ya uvaaji! Usitake falsafa yako iwe ndo ya watu wote!
Nani kakwambia nataka falsafa yangu ndio ifuatwe,we unajua mi navaaje?
Hebu rudia kusoma uelewe ndio ujibu,sio unakurupuka na kuvamia kueleza kitu ambacho haujakielewa,kama una stress za kukosa pesa za sikukuu useme usaidiwe,maana umekuwa mkali bila hata sababu,kweli hali imekuwa ngumu sana.
 
Unamlaumu MTU alivyokuwa amevaa kwa nini? Angekuwa kavaa nusu uchi sawa! MTU kavaa three piece yake yenye rangi anayoipenda yeye, wewe inakutakia mini? Kwani alikuwa anavaa kwa ajili yako?
 

si unaona sasa
 
Unamlaumu MTU alivyokuwa amevaa kwa nini? Angekuwa kavaa nusu uchi sawa! MTU kavaa three piece yake yenye rangi anayoipenda yeye, wewe inakutakia mini? Kwani alikuwa anavaa kwa ajili yako?
Sijamlaumu na wala sijamkataza kuvaa anachopenda ila nimemshangaa kuvaa nguo zenye rangi io,kwangu nimeona ajabu na kituko,ila sijakwambia kuwa namchukia au nataka avae kama mimi,so sijaona sababu ya mimi na wewe kukwaruzana kisa io suti ya njano,wewe nani umewahi kumuona kavaa ivo?
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.
 
Kuvaa saa kwa kunaongeza unadhifu kwa mwanaume
 
Mwanamke bangili
Mwanaume SAA
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mwanamke bangili au boyfriend watch[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Saa pia zinatupendeza sana
 
hiyo kitu ni suruali ya jeans ambayo ni nyembamba miguuni kiasi kwamba ukivaa na raba aina ya all star inaibana kisawasawa huku chuga huwa tunaichomokeaga kwenye travolta au ukiivaa na raba yoyote hiyo raba unaikaza mpaka inyanyuke kwa mbele...
 
Kuna demu hapa kitaa anapenda kuvaa hivyo huwa ananikera na style yake yakutembea
Labda ulimfukuzia...mi sikereki na style ya mtu Bali unifanya nicheke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…