Bakhressa hajaenda shule.Wewe bibi unaonekana huko unakokaa jamii inateseka sana kama sio waislam maana mda wote unawaza udini tu, huko madrasa watoto wanavuliwa na hao walimu wenu mpaka chooni tena wanawala ndogo
Kinatoa Kwa sababu yupo Samia ila kabla ya hapo ilikuwa umaskini wa kutisha.Wahitimu njoeni Songea, kilimo kinatoa
Endelea kujifarijiHaijalishi aliyesoma Kasoma tu hata kama alipoteza muda gani ndugu..
Sawa...Endelea kujifariji
Elimu ya Tanzania,kamwe haikupi utajiri.π‘
Ajira ya Tanzania,kamwe haikupi utajiri.π³
Siasa ya Tanzania 'angalau' yaweza kukupa fursa ya wizi.π
Ukijua kusoma na kuandika i.e. darasa la saba ukaanza tafuta pesa mapema,angalau by 40's unaweza kuwa PDG,tena hapo omba Mungu usipate mitihani ya kimaisha i.e.Mwenza mwenye akili mbovu.π
Urithi kamwe hauwezi kukupa utajiri(kwa sisi waswahili),kwa muhindi,muarabu,muzungu,aaah kama wanamtia kwenzi kinyagoπ
N>B.
Mafanikio na utajiri si kwa kila mtu,ndio maana kurasa zake huandikwa kwa maandisi madogo vitabuni,na si kwa wapiga mayowe.,,,,,,,,,,,,,
ππ³
tumeshawachoka na matusi yenu.. na wewe usisomeshe watoto wako acha waishie la saba ili wawe matajiri.Inachosha sanaa
Mtu anafeli la saba na kuanza kujishughulisha kufanya kazi za hapa na palee mwisho anapata mtaji anajiajiri safar ya maisha inaanza baada ya miaka kumi anajiweza mpaka anafikia kuwaajili wahitimu wa chuo Kwa mishahara mikubwa tu
Ila unakuta mtu anahitimu chuo yupo mitaani tu mpaka miaka 15 hana ajira wala ajajiajiri yupo tu anaangaika mitaani yaani amemaliza chuo ana elimu kubwa tu lakini anapitwa na darasa la saba , sijui wakoje hawa watoto wetu tunawasomesha bure tu
Wapo tu mitaani kazi yao kubeti tu wakike Kwa wakiume hawaeleweki wakisikia ajira imetangazwa wanatakiwa watu 20 wao wanaenda kama 500 kwenye interview sasa mnashindwaje kujiajiri
Amemaliza chuo hata kuunda kikombe cha mbao hawezi, ubongo elimu makamasi
Kazi mkisikia mtu ameanza na mtaji wa elf 50 amepambana mpaka amefikisha ml 20 mnaanza kumtukana mitandaoni
Na bado mpo tu
tumeshawachoka na matusi yenu.. na wewe usisomeshe watoto wako acha waishie la saba ili wawe matajiri.