Darasa la saba wengi wanajiweza kiuchumi kuliko waliohitimu Chuo

Darasa la saba wengi wanajiweza kiuchumi kuliko waliohitimu Chuo

Hawa moder mbona wanafuta comment ovyo ziacheni nyie vipi? Nyie
 
Wewe bibi unaonekana huko unakokaa jamii inateseka sana kama sio waislam maana mda wote unawaza udini tu, huko madrasa watoto wanavuliwa na hao walimu wenu mpaka chooni tena wanawala ndogo
Bakhressa hajaenda shule.

Babake Mo hajaenda shule.

Mzee Nahdi wa Oilcom hajaenda shule.

Wote hao ni madrassa tu na mabilionea.

Kwa hiyo kuitaja Madrassa ndiyo udini?
 
Haijalishi aliyesoma Kasoma tu hata kama alipoteza muda gani ndugu..
 
We ni muhitimu wa darasa la saba au

Kwa mfano ni muhitimu wa chuo ndio nikae tu bila kazi kisa serikali haijanipa ajira

Mimi nitajiajir tu bila kungoja chochote kwa serikali
 
Elimu ya Tanzania,kamwe haikupi utajiri.😡
Ajira ya Tanzania,kamwe haikupi utajiri.😳
Siasa ya Tanzania 'angalau' yaweza kukupa fursa ya wizi.😀
Ukijua kusoma na kuandika i.e. darasa la saba ukaanza tafuta pesa mapema,angalau by 40's unaweza kuwa PDG,tena hapo omba Mungu usipate mitihani ya kimaisha i.e.Mwenza mwenye akili mbovu.🙁
Urithi kamwe hauwezi kukupa utajiri(kwa sisi waswahili),kwa muhindi,muarabu,muzungu,aaah kama wanamtia kwenzi kinyago😀
N>B.
Mafanikio na utajiri si kwa kila mtu,ndio maana kurasa zake huandikwa kwa
maandisi madogo vitabuni,na si kwa wapiga mayowe.,,,,,,,,,,,,,

🙂😳
 
Mnachagua vibaya vya kusomea tatzo
 
Inachosha sanaa

Mtu anafeli la saba na kuanza kujishughulisha kufanya kazi za hapa na palee mwisho anapata mtaji anajiajiri safar ya maisha inaanza baada ya miaka kumi anajiweza mpaka anafikia kuwaajili wahitimu wa chuo Kwa mishahara mikubwa tu

Ila unakuta mtu anahitimu chuo yupo mitaani tu mpaka miaka 15 hana ajira wala ajajiajiri yupo tu anaangaika mitaani yaani amemaliza chuo ana elimu kubwa tu lakini anapitwa na darasa la saba , sijui wakoje hawa watoto wetu tunawasomesha bure tu

Wapo tu mitaani kazi yao kubeti tu wakike Kwa wakiume hawaeleweki wakisikia ajira imetangazwa wanatakiwa watu 20 wao wanaenda kama 500 kwenye interview sasa mnashindwaje kujiajiri

Amemaliza chuo hata kuunda kikombe cha mbao hawezi, ubongo elimu makamasi

Kazi mkisikia mtu ameanza na mtaji wa elf 50 amepambana mpaka amefikisha ml 20 mnaanza kumtukana mitandaoni

Na bado mpo tu
tumeshawachoka na matusi yenu.. na wewe usisomeshe watoto wako acha waishie la saba ili wawe matajiri.
 
Uko sahihi kabisa,wale waliofika vyuoni huko kuna kazi wanazikwepa ila sisi la 4C tunapiga yoyote tu na tunapata vijisent mwisho hukosi 200-300
 
tumeshawachoka na matusi yenu.. na wewe usisomeshe watoto wako acha waishie la saba ili wawe matajiri.

Haujanifundisha ila hivyo ndivyo nitakavyofanya

Wakimaliza la saba tu nahakikisha wanajua kusoma na kuandika; nawatafutia mwalimu mzuri wa kingereza wa miezi sita nahakikisha tena wanajua kingereza vizur kuliko muhitimu wa chuo kisha nawauliza wanapenda kuwa wakina nani?

Then miaka minne tu kitu watakachosomea watafanikiwa nacho- huko vyuoni mnaongopewa tu
 
Back
Top Bottom