mwelemimmongo
Member
- Feb 16, 2021
- 95
- 75
Mimi binafsi huwa napingana na maswali ya walimu wanao uliza watoto maswali eti, tanzania ilipata uhuru wake 9.12.1961 hili si swali sahihi kwa wanafunziWanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania...
Jina la Ubatizo ni TANZANIA sio TANGANYIKA.
Tanzania ilipata uhuru lini
P. Hebu niambie ni kwanini wa Tanganyika wanalionea aibu jina letu la asili ?!. Kwamba ni baya kulitamka ?. Au ni kuenzi muasisi !!Mkuu Mti wa Muwese, The Palm Tree , huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania, wewe ukiwemo, halafu mkiambiwa ukweli mna uwezo finyu wa uelewa, mnakasirika...
Msifikiri huyu siyo naye ni Lumumba typicalNi Uhuru wa Tanganyika.
Tanzania ni pamoja na Zanzibar ambao wao wanasherehekea 12 January.
Tanzania haijawahi kupata Uhuru bali ilipata katiba yake mwaka 1977
Hivi kwanini mwaka wa ngapi huu hwajakuteua?Au unalipwa hivi hivi.Wanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika lakini maadhimisho na sherehe ni ya uhuru wa Tanzania...
9th December mnaazisha niniTanzania haijapata uhuru na haikutawaliwa. Fikiria vyema
Nakubaliana nawewe kwa asilimia 100 kwamba mfano wako ni wakitoto kwa level za chekechea........ mind you that hapa ni JF tunataka FACTMkuu Mti wa Muwese, The Palm Tree , huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania, wewe ukiwemo, halafu mkiambiwa ukweli mna uwezo finyu wa uelewa, mnakasirika...
Vipi kuhusu upande wa pili Zanzibar, Je wao leo sherehe inawahusu? Na vipi kuhusu Mapinduzi day yao huwa kuna recognition ipi? Bwana Pasi kutokana na michanganuo yako ya miwese fafanua kuhusu 26 April Muungano day....Wanabodi
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania...
9th December mnaazisha nini
Ina utata sana. Sherehe kubwa kabisa ingepaswa kuwa Muungano. Otherwise Tanganyika iwepo sawia na ZanzibarMkuu kwa hiyo leo tunasherehekea uhuru wa Tanzania (Tanganyika isiyokuwepo) alafu very soon next January tutasherehekea uhuru wa Zanzibar??
Si ndiyo?
Je, wewe unaona sawa tu??
Zanzibar siku ya uhuru wanasema ni siku ya mapinduzi ya Tanzania?Jina la Ubatizo ni TANZANIA sio TANGANYIKA.
Uhuru wa Tanganyika
Nenda katafute kwenye kumbukumbu zako Tanzania ilitawaliwa na nchi gani?
Mwaka upi mpaka mwaka upi?
Haya mambo ya kujionea aibu ndo maana Tanganyika huwa haina muda wa kujadili mambo yake binafsi na wala haina bajeti yake.
Wakati huo kuna mambo yasiyo ya Muungano na hujawahi kusikia Wabunge wa Zanzibar wamemaliza kujadili mambo ya Tanzania wametoka ili Watanganyika wajadili yao. Na kwa bajeti ipi?
Mambo yamefinyangwa finyangwa tukiulizana watu wanakua wakali, Muungano usiguswe. Tuache kuficha uhalisia.
Ukitamka Tanzania =Tanganyika + Zanzibar.
Na kila mtu ilitawaliwa kivyake na kupata uhuru kivyake.
Zinazopaswa kutatuliwaIna utata sana. Sherehe kubwa kabisa ingepaswa kuwa Muungano. Otherwise Tanganyika iwepo sawia na Zanzibar