Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Kinachowapaga stress wasanii wa bongo ni kwamba,wanaweza toa nyimbo kali,kua na jina kubwa,ila anakua hana hela,yaan mzik wa bongo usione mbwbwe za kwenye mitandao,mziki bongo hauna hela,so expectations kubwa hua znakatishwa tamaa ndomana unaona wasanii wanahangaika ..asikudanganye mtu,..aliefanikiwa mzik bongo ni wachache sana,tumtoe diamond na kina jay d,prof,.hawa wengne hakuna kitu,hata ali ana strugle sema ali ana akil,hafanyag ujinga na kidogo amachopata..kina nay wanafanya mishe zingne znawapa pesa,..angalau kina navy kenzo kidogoo,ila wengne wanahangaika plus stress za kufa mtu
 
ntamshangaa kama kaanza kuvuta maana kama show anapiga, ngoma zake zinachezwa redioni kama kawaida sa sijui hizo stress anazitoa wapi.
 
CMG ....ina maana kibao
c309ab22c232bedd92702687350d1966.jpg
 
"Unataka kukimbia na hauna break, what do you expect?"
 
huyo wa jina la mwisho ..yaani nina Uhakika kabisaaa ..wla hujakosea ndugu..Mara kibao huwa namkuta maskani ya B.O.B nyuma ya msikiti wa alharamain kinondoni mkwajuni akiwa kwa yule don wao muuza unga ..huwa nawakuta yeye pamoja na petie money
Kinondoni hakuna msikiti wa Alharamain.

Kaka ...
 
huyo wa jina la mwisho ..yaani nina Uhakika kabisaaa ..wla hujakosea ndugu..Mara kibao huwa namkuta maskani ya B.O.B nyuma ya msikiti wa alharamain kinondoni mkwajuni akiwa kwa yule don wao muuza unga ..huwa nawakuta yeye pamoja na petie money
Kweli mkuu? Hata huyo Darasa mbona me siamini amini
 
Kweli mkuu? Hata huyo Darasa mbona me siamini amini
kuhusu darasa ..c'na Uhakika nahilo ..lakini ngoja nikwambie jambo ..mtu yeyeto anayetaka kuwa msanii ni ambitious ..yaani usanii unalaana balaa nimekaa nao najua Tabia zao nimtihani mkuu " kama una busara na nimtu wa kumpenda Mungu huwezi maisha yao ..huwa wanapenda kujaribu kila aina ya starehe ..msanii kuliwa kiboga au kusagana .kuvuta unga .hilo nisehemu ya taasisi yao...so usimuamini hata mmoja wao
 
huyo wa jina la mwisho ..yaani nina Uhakika kabisaaa ..wla hujakosea ndugu..Mara kibao huwa namkuta maskani ya B.O.B nyuma ya msikiti wa alharamain kinondoni mkwajuni akiwa kwa yule don wao muuza unga ..huwa nawakuta yeye pamoja na petie money
Wakati unawakuta we hua unafanya nini?
 
hivi kumbe studio wanatakiwa wawe wanaenda kila siku? na ni lazima kwani kwenda wa producer huyo huyo?
 
Back
Top Bottom