Dark days 17/03/20...

Naona sasa tuko karibu kuunda nchi nyingine ya Diaspora juu ya Tanzania. 😀
 
tukale wapi polisi au...km huwezi kupiga kaa/tulia ivoivo! ule za uso!! ..... na bado!! akija mwingine kaa jiwe safari ijayo tunapiga nyundo ya kichwa ana kaa chini japo ni vigumu kumpata tena Lugumya! mlipukaji km jiwe!
Utakula ulipopeleka mboga,kila mtu akila kwa urefu wa kamba yake kama tulivyosikia tukiruhusiwa,kuna wengine mtabaki mmesimama zilipofungwa kamba zenu,maana mna kamba fupi ,wengine ni ndefu na bado zinavutika.

Pigeni kwa adabu sio kama makinda ya ndege,mpaka mnarusha nje chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…