Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

imeishia pale Branch Manager anambembeleza Late CEO ampe amjukumu ya kummaliza assistant wa Mr Culture, ndio kisa hasa ya kupewa ufupisho wa kiherehere cha Branch Manager kuwa karibu hivyo kutafuta ukuu
Huku Mama anaupiga mwingi, mambo mazuri majuu siku akirudi naona mwendelezo utaenda faster

Naona sasa tuko karibu kuunda nchi nyingine ya Diaspora juu ya Tanzania. 😀
 
tukale wapi polisi au...km huwezi kupiga kaa/tulia ivoivo! ule za uso!! ..... na bado!! akija mwingine kaa jiwe safari ijayo tunapiga nyundo ya kichwa ana kaa chini japo ni vigumu kumpata tena Lugumya! mlipukaji km jiwe!
Utakula ulipopeleka mboga,kila mtu akila kwa urefu wa kamba yake kama tulivyosikia tukiruhusiwa,kuna wengine mtabaki mmesimama zilipofungwa kamba zenu,maana mna kamba fupi ,wengine ni ndefu na bado zinavutika.

Pigeni kwa adabu sio kama makinda ya ndege,mpaka mnarusha nje chakula.
 
Back
Top Bottom