Dark days 17/03/20...

Atapigwa na wale wasiopenda hivyo vyote ulivyovitaja hapo juu yaani
Mafisadi
Wavivu
Wasiosoma
Viburi
 
Mbona hujamjibu inavyotakiwa? Mtu wa hivi mtamuondoa kwa sababu ipi ya msingi? Jibu kisomi.!
 
Umejiajiri kutokana na upumbafu wako hakuna anayeweza kukuajiri.
bado mnaajiriwa kwa umri gani, upumbavu mtupu halafu unasubiri kusimamiwa km mtumwa amka lala hakuna kutoka sasa staafu.
Ili usiwe mtumwa chini ya mtu jiajiri uwe na amani, kalime, uza dagaa au Mtumba, hii ya kusubiri Mwanamke akuongezee mshahara imepitwa Mkuu gangamala mwanamume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…