Dark days 17/03/20...

Mkuu si wa ku puuza !!wahima wanaitaka Sana Hii nchi yenye rutuba Ili wapate malisho ya ng'ombe zao za inyambo!!!w hao plan zao Huwa za mbali sana na ni ngumu kuwaamini hata wakikupa maziwa chunguza kama ni maziwa kweli labda ni dip ya kuulia kupe!!!!
 
NAFSI yangu inasema Tumia akili ndio huyo Mzee (mku.....ka) halafu yoga mother house WOTE KWA pamoja jana wameacha nyuzi zao na mzee kaaga anajua baada ya mission Born town elimination excuted hato survive in the team Born town wata m do something!!
kwa nini mnahisi #mku....aliyeachika) ??
 
Kuna wakati unafika when reading this story, I regret; why did I come to know all these nonesense? I have happened to strongly hate all these thieves calling themselves our leaders(present and past)
Mkuu naomba zile parts za mwanzo zilizochomolewa, au kama umezicompile ya kwanza mpaka mwisho nisaidie mkuu wangu....

mysterio
 
Kuna uzi wa simulizi ya vipepeo weusi uliitupiwa humu zamani na the bold(habibu B Anga )alisema na kuweka msisitizo kwamba simulizi yake kwa namna fulani ina akisi Siasa za Tz kwa kipindi kile watu wengi hatukuchukulia seriazi maneno ya mdau

Ila nikikumbuka sarakasi za kijasusi , siri nzito ,kugeukana , mission nk katika ule uzi ukija kulinganisha na nyuzi za yoga na Tumia akili pamoja na yanayoendelea kwa sasa kuna nadharia zina kuja kichwani kwamba kuna mazito makubwa behind the scenes .Nimekumbuka ile simulizi ilikuwa ukisoma usiku mpk unaogopa na kulikuwa na kundi hatari linaitwa "The board" wanapambana kushika dola watafune mema ya nchi watu wao Ktk kila taasisi mpk bungeni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…