Dark days 17/03/20...

nimeielewa Point yako saaana,Binafsi niliwahi kuwaza i kitu!! tusome ila tusibebe mambo km yalivyo...za kuambiwa Changanya na zako,,sombdy smwhere ni King wa Propaganda na sisi bongo tunapenda propaganda so anatupatia mdo mdo
Kajaribu kuelezea kitu wengi hawakijui binafsi nimeshusha mahojiano ya Membe humu makusudi baadae ya kumsoma samurai nikaona nijazie nyama Kuna wakubwa wanacheza game ya [emoji3528]
 
Hakuna lolote, huyo naye alikiwa kwenye project yake na watu wake bahati mbaya hakujua Kuna watu Wana nguvu kubwa kuliko aliyodhani yeye anayo!
''Nimesacrifice maisha yangu Kwa watanzania'' Damu ya huyo jamaa ndo inaleta mtikisiko huo. Hadi KITABU kipya inabidi kiandikwe. Upinzani wa Kweli unatoka CCM- Nyerere said.
 
Don't be biased
 

....Mkuu kama wamekulipa rudisha hela yao tu... Umefeli kabla hujaanza...
 
Yoga leta vitu mama huku yanga huku wewe dah!raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…