Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

nimeielewa Point yako saaana,Binafsi niliwahi kuwaza i kitu!! tusome ila tusibebe mambo km yalivyo...za kuambiwa Changanya na zako,,sombdy smwhere ni King wa Propaganda na sisi bongo tunapenda propaganda so anatupatia mdo mdo
Kajaribu kuelezea kitu wengi hawakijui binafsi nimeshusha mahojiano ya Membe humu makusudi baadae ya kumsoma samurai nikaona nijazie nyama Kuna wakubwa wanacheza game ya [emoji3528]
 
Hakuna lolote, huyo naye alikiwa kwenye project yake na watu wake bahati mbaya hakujua Kuna watu Wana nguvu kubwa kuliko aliyodhani yeye anayo!
''Nimesacrifice maisha yangu Kwa watanzania'' Damu ya huyo jamaa ndo inaleta mtikisiko huo. Hadi KITABU kipya inabidi kiandikwe. Upinzani wa Kweli unatoka CCM- Nyerere said.
 
Mimi ukiniuliza nini kilimuuwa old CEO nitakwambia jambo moja tu dam sio nzuri kuimwaga. Nadhani alipofikia ku eliminate watu wenye akili walijiongeza yani ukiuwa ujuwe utauwawa na hiki ndicho kimewakuta all killer. Angalia kinachoendelea hapo Ukraine huyo jamaa wa Russia msishangae kuamka asubuh amesha pumzika. Kitu anakifanya hapo Ukraine hakiwezi muacha tena atanie. Yani anajuwa siku zake zinahesabika. Yani kuuwa nijambo hatari sana kwa maisha yako pia.
Don't be biased
 
I just liked your gesture MISTER ; the narration is so magnificent.

Members, I think NOW is the time Atleast we should contribute something to our camarade: Nashauri kama hutojali utu PM your contact number for our great contribution.

Our Almighty Lord has been so good angalau the truth has been put in lies . Kindly PM your contact number so as to share our love and support.

Great narration my young brother ! Take care man.

....Mkuu kama wamekulipa rudisha hela yao tu... Umefeli kabla hujaanza...
 
Mpeni pole!! Asubiri jumatano nikisha post akopy tena akawalipishe watu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena this time kwa script iliyopo atajivunia buku buku nyingi sanaaa! Yaani sanàaaaa![emoji23][emoji23][emoji23]

Ila inauma nyie[emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]!! Naivi ndo ID za kujificha hizi basi anjiona mjanjaaaa!!

Sema aliwi mtu kichwa kizembe[emoji2957][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Yoga leta vitu mama huku yanga huku wewe dah!raha sana
 
Back
Top Bottom