Dark days 17/03/20...

Hizi ni akili za kuvaa ndomu za Mataga na Sukuma Gang, huyo mtu mbona hakuzuia Kayafa mungu mtu wenu asife? Born town yupo sana na ataendelea kuwapumulia visogoni nyie wafuga Ng'ombe wa Chato.
 
Hizi ni akili za kuvaa ndomu za Mataga na Sukuma Gang, huyo mtu mbona hakuzuia Kayafa mungu mtu wenu asife? Born town yupo sana na ataendelea kuwapumulia visogoni nyie wafuga Ng'ombe wa Chato.
 
Tutolee upuuzi wako hapa, naye mr born town akakumbatie udongo, aone raha yake, tena yeye ndo udongo utakamata ile enyewe kea mwili woiiiiiih
 
Mngejua ukubwa wa engine ya KAMPUNI yetu ktk mambo hayo!!!!
Mkuu ukubwa huo unatokea wapi wakati kila siku tunaona nyuzi kuwa jamaa PAKA amepenyenya watu wake tena wapo sehemu nyeti na kila siku anapata taarifa ya hii kampuni kwa kadri anavyotaka hebu fafanua vzuri huo ukubwa maana sometime napata hasira sana nikpataga hiz habari kuhusu nyau.
 
Kwa taifa hili hio michezo ilianzia toka zama za F.O.N aka Faza ov Ze Neshen!

Nae alikuwa na roho ya kigiriki akamshaya Soko Soko. Thats where the games began na vijana wake wakasandia formula.

Ilifikia turn yake nae akaendaa mamtoni wakamfix ikismekana ni master plan ya Nigga from Lupaso state. Mwisho akapigwa 6ft Booty Hammer mchezo ukaisha. Lupaso empire was into Regime ikafanya reforms ndio kutuletea Mr. born town by the End!

Born town kafyeka Lupaso Empire na Chattle Empire kabakia yeye kama Master of the Game now.
 
Mzee hii laana tayari inalitafuna Taifa letu fatilia Vifo vya Soko,Mchonga,Nche na Jiwe vyote ivo ni timing tu
Ila ni jambo jema sana wenye Rungu wakaona namna ya kumuacha born town afe natural death itasaidia kuheal taifa ila ikitokea nae akawa timed basi the trend will continue
 
lakini kwanini PK awe na access ndani ya system? hii kampuni yetu iko mateka

na born town akiondoka ndo basi tena tumeisha hakuna mtu mwngne mwenye akili aliyebaki nchii hii zaidi ya born town

Huu ndiyo ukweli wenyewe,hakuna mtu smart kwa Sasa ndani ya KAMPUNI wa kumuweza PAKA zaidi ya MR BON TOWN,akifa Mr Born Town Nchi itakuwa rasmi koloni la PK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…