Dark days 17/03/20...

Hizi ni story hakuna kitu kama hicho, ukifuatilia ni story za kuungaunga tu.
 
Wengi sana hawaijui Nchi Yao, IPO haja mitaala yetu yarudishwe masomo ya kuimarisha uzalendo.

Hawaijui Nchi hii vizuri, Juzi tu ndo wengine wamekuja jua hata Putin aliishi hapa kwetu kujiimarisha kimafunzo na kushare ideas.
Yaani ni mambo ya kushangaza, ninadhani kuna mahali kama Taifa tulipotezea baadhi ya vitu kumbe ni vitu vya muhimu sana.Huwa ninapenda kushauri somo la Uzalendo kwenye mitaala yetu ni la muhimu sana.

Zamani alivyokuwa akija mgeni kijijini/mtaani kwenu/kwetu, lazima balozi ajue na watu wamjue ametokea wapi, anafanya nini, atakaa kwa muda gani hapo. Lakini siku hizi hii haipo. Naomba irudishwe kwa kweli.

Wajumbe/mabalozi ni watu wa muhimu sana,ikibidi wawe wanapewa posho za kujikimu kimaisha wanawajua watu wao kwa ukaribu sana..

Kuna siku alikuja mgeni nyumbani kwetu kijijini eti ni chizi, amevaa malapa, ana daftari na kalamu kwenye mfuko, amevaa shati la mikono mirefu na suruali ya kitambaa kijani kibichi.

Akakaa vizuri tu,nilivyouliza nikaambiwa amekuja kuomba hifadhi na msaada wa chakula. Nilivyomtazama vizuri miguuni na nywele zake, nikatoka nje nikisema huyu siyo chizi, chizi gani yuko...halafu lafudhi si ya mtanzania. Hapa nilikuwa darasa la 4 zamani kidogo.

Unajua alichokifanya, alikimbia mbio nilivyojaribu kumfuatilia sikumuona alipotelea vichakani. What if I shouldn't take my curiosity what would happen to us.?
 
Maskini ya Mungu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Risasi moja kwenye moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] INASIKITISHA SAANA

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

wa kupuliza unapitwa huku

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umbea wa kiswahili ndo mtamuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kitu.Kuna sehemu tulienda na wife,sasa wanawake wenzake wakawa wanamtenga kwenye story zao nikawauliza vipi mbona mwenzenu mmemuweka pembeni, wakasema unajua mwenzio hajui kilugha sasa umbea kwa kiswahili haunogi, so naunganisha na msemo wako.[emoji846][emoji846]
 
Baada ya kifo cha lete CEO na mr bown town kuona vidole vyote ananyooshewa yeye akaamua kujisafisha kijanja kwa KUAMUA KUJIFANYA ETI ANAWINDWA MPAKA NA PK(baada ya kuona watanzania wengi wenye akili finyu hawampendi pk)

Najua baada ya kipande cha leo watu wengu wataanza kumuona Bown town kama mkombozi wao eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Risasi moja kwenye moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] INASIKITISHA SAANA

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Wewe ninajua unataka niongee sana.Alivyopiga ile risasi ulitokea mlipuko wakatahayarika wasijue wafanye nini akawashoot mmoja mmoja. Umeelewa sasa nilichokimaanisha. Wakati mwingine mtu akiongea kitu soma mistari 2 yenye ujumbe nyingine ni kunogesha stori tu.

Hapa ndio ninaishia kama utataka nyongeza sina zaidi siwezi kukuongopea, ila kama usipoamini soma na kuacha kama ilivyo tangu mwanzo ni mwendo wa hadithi, siyo kila hadithi inaleta picha ya uhalisia uitakayo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…