Dark days 17/03/20...

Mkuu mambo ya pk siku ukipata mtu anayeishi maeneo ya kule atakupa data nyingi sana za hawa watu.Nimegundua ukanda ule watu wengi hawamo humu au hawataki kuyaongelea. Lakini ukikaa nao wakakupa story utashangaa sana. Hiyo ya Mch.mbona cha mtoto.

Ndio maana nasema bado jeshi letu liko imara sana lasivyo yangeshafanya yake zamani sana. Kuna vitu vingine huwa wanaamua kuviacha tu.
 
Menu ya mpishi [mention]yoga [/mention] inaibua watu na vitu kibao nikazi ya ubongo kuchakata tuu na kuamua unataka kula nini ndani ya menu ya [mention]yoga [/mention] iliyosheheni aina tofauti tofauti ya vyakula vyenye radha na asili tofauti
 
Menu ya mpishi [mention]yoga [/mention] inaibua watu na vitu kibao nikazi ya ubongo kuchakata tuu na kuamua unataka kula nini ndani ya menu ya [mention]yoga [/mention] iliyosheheni aina tofauti tofauti ya vyakula vyenye radha na asili tofauti
Kama leo imeibua mambo kibao [emoji846]
 

Kile "kibanda" cha one term kusini mwa Africa.
 
Na ukila nyama ya mtu hutoacha-Nyerere said.

Anayekuja baada ya bibi ataondoa hiyo roho ilopandikizwa ya kumalizana. Tunarudi kwenye HAKI kutawala.Amen
Nchi hii ipo na inaenda kuwa njema sana sana...Natamani kama macho ya wasioona yangefunguliwa kama ya mtumishi wa Eliya, wangepiga vigelegele vya shangwe...Glory be to the highest!

Mimi yangu si story kama ya bibie, yangu ni kauli ya kifalme ambayo inaishi bila kupingwa...
 
Boss wamemchukua kijana as we thought

Okey so it realy KP?

yes!! Its him indeed!! Tume scan na laptop, Hii software waliyoweka humu kwenye hii laptop ndio ile ile!

Mnaweza kutrack kijana anaonekana kapelekwa wapi?

Yes! Hatuja switch on ile tracker maaana watamscan kuona kama ana anytracking device!

Good! Enedeleni kunijulisha kila hatua!

Sawa boss!!

This guy!!! He always admire my company!! This time tunakula sahani moja

Boss anachukua simu na kumpigia curent CEO, i need to talk to you nakuja hapo!! Then anakata simu!

Born town haraka sana na convoy yake wanaanza safari kuelekea makao makuu ya kampuni, baada ya saa mbili hivi anafanikiwa kufika mpaka makao makuu ya kampuni bila tabu maanaa pale nikama kwake


Anakwenda moja kwamoja kwa mwenyeji wake anaingia ofisini kwake nakukaa kumsubiri! Akiwa pale anaendelea kuzitizama picha za other CEO waliopita ikiwemo ya kwake zilivyo pangwa kwa mpangilio kuanzia CEO wa kwanza mpaka wa sasa! Macho yake yanapofika kwa late CEO, anasmile kidogo!! Anajisemea this guy........

Then five minutes curent CEO anaingia nakuketi!!

Shkamoo boss!!

Marhaba!! Naona ume update furniture last time nimekuja sio hizi!

Hahaha, Nikweli Mkuu! Mtu wa decoration alinishauri tuzibadili and i thought it was a good idea!!

Ohoo! Okey!!

Sawa, Karibu boss! Simu yako imenishtua!

Yes! Nimekuja tena this is the second time na kuja hapa un-ivated so samhani kwa hilo! Ntakwenda moja kwa moja kwenye hoja maaana najua una bizy schedule

Usjali hapa kwako mkuu!!

Hivi Ulipopitia mafile ya kampuni yetu baada ya kupewa hii ofisi, ulipata nafasi ya kupitia file la KP ?

Sorry? Who? (Ceo anashtuka na blood pesure inaanza kuwa juu)

Dont act like ujanielewa, umesha pata kujua what KP wanted from us and how nilimshughulikia?


Boss, hapana sijapitia chochote kinacho husu KP

Sasa nimefunga hii safari mwenyewe kuja kukujuza tu kuwa you need to task your people wakupe file la K.P there issues in there you need to know kabla yakuendelea na ujinga wako na mzee kuunda umoja wa kudeal na mimi!!

And by the way tell mzee namheshimu sana he is still my guy!! Mwambie i can smell an enemy as far as i can!! Na kama huna ilo file bas take this flash!

Born town anampa flash CEO yenye details about what KP did!

Then akiwa anatoka anamwambia, msalime sana KP mwambie this time niko free zaid as he thinks! CEO anaitazam ile flash akiwa anatetemeka

Then born town anarudi kidogo!!

Nilikua nataka kusahau, kule mbugani ile pesa imeshaingia tuna hitaji ilo eneo as soon as possible!! Na nnakukumbusha unapaswa kwenda kule ulikonichafua ukanisafishe tena kama tulivyo kubaliana last time nikiwa hapa I need my investors back, especially from USA! Anasmile kidogo as usual antoka

Current CEO alipo pata taarifa ya born town kuwa ana kuja, alimjulisha mzee then mzee akaplant audio divices kwenye ofisi ya CEO ready to listen to why born time alikuwa pale!

Baada yakusikia kilichosemwa pale evryone was in shock ....

Ceo alirudi haraka ndani and opened her laptop na kuweka ile flsh!!

Then a small folder with 26 GB kwenye flash inajidispaly usoni kwake!!

Ana oppen ile folder anakutana folder lenye title "Oparation +250 Bingo "

pdf files , picture na audio clip na video clip zenye title mbalibali ......


So what happen between KP and born town??



Hope tuta maliza two last epsode soon!!



Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Born town kipenzi ya watu anaonyesha kuwa ni kijana hodari aliyekula sahani moja na vigogo wote wanne wa nchi hii. Kwa sasa anabakia kuwa state man wa kampuni na tunaendelea kumuombea kila la kheri.
 
Ila born town anajiamini snaa[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Jaman yoga unatukata stimu😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…