Dark days 17/03/20...

Ni kweli kaka, ila tunapita tu.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Ungeropoka ingekula kwa dereva😅😅😅
 
Me najiuliza tu,old CEO ana 72 years sasa hivi.nini anatafuta tena kwenye haya maisha hadi aanze kuongoza hayo magenge ya wahalifu?
Sasa na huyo new CEO atadumu kweli kwa style hiyo?
 
Mtu anaambiwa pambana na Corona yeye anabaki anasema hii Ni Vita ya kiuchumiiiiiiii,Mara barakoa inafanana na titi moja la mwanamake lililokatwa.

Kilichofuata TBC Ni wimbo wa Taifa afu imeisha hio.
 
Mwanzoni nilianza kumuonea huruma Mr. Late lakini nilipofika hapo kwenye tukio la Mzee baba Sema Sema huruma yangu kwa The Late ikaisha.

Mwandishi upo vizuri.. Iwe kweli Mr. Late alifanyiwa uhuni au alivuta naturally naona Kampuni imeokolewa kwa kiasi fulani. Ni bora hapa kampuni ilipo kuliko kule ambako ingekuepo

Kuabudiwa na kutaka kutengeneza utawala wa kifalme ni moja ya mambo ya kipuuzi sana ambayo hayapaswi kupewa nafasi hata kidogo.
 
Unapata picha gani kuwa the old CEO anakula sahani moja na kijana msema sana? Afu huku mitaani watu wanampigania kumbe yeye yala bata? Ukielewa hii simulizi ni upumbavu, hata mimi ningeondoa takataka.
 
Kapo tangu early 70s
Hahaa nimekumbuka kitu..
Unajua hata kipindi hiko 70's Aliyekuwa CEO wa kwanza wa Kampuni yalishamtokea mara nyingi akawa anakwepeshwa na wasamaria wema..
Akataka kujua chanzo.. Akaambiwa umekaa sana kwenye kitu.. Achia madaraka yeye hasikii..
Kwenye 80's akiwa kwenye vikao vya ndani ya kampuni akasema nikitoka kwenye kiti hiki basi Mfanyakazi wangu hodari (anatoka kwenye jamii ya wafugaji) ndiye anayefaa..
Washikadau wa kampuni wakapigwa butwaa huyu msimamizi mkuu wa shughuli za kampuni anatusumbua namna hii kila dakika ni uhujumu uchumi...
Wakasema hapana.. Aliandaliwa msafara kutoka Makao kuja mjini akala mzinga wa hatari.. Ceo wa wakati huo alipopata taarifa ya msiba wa msaidizi wake mkuu wa shughuli.. Akajua kituo kinachofuata ni yeye mwenyewe.. Ndipo ikatoa tangazo kubwa kwamba NANG'ATUKA..
Basi washikadau wakatulia na ndipo ikaleta terms ya kuchukua kiti cha CEO ni miaka 10 tuu..
Ukizidisha kitakachokupata usilalamike..
 
Unapata picha gani kuwa the old CEO anakula sahani moja na kijana msema sana? Afu huku mitaani watu wanampigania kumbe yeye yala bata? Ukielewa hii simulizi ni upumbavu, hata mimi ningeondoa takataka.
Mkuu hata Mr. Late na genge lake + branch manager walikua wanakula sana sio kwamba wao walikua watakatifu. Shida yao ni kwamba kula tu waliona haitoshi wakaingilia na kuleta athari kwenye maisha ya watu wengine wasio na hatia.

Bora hata mazingira ya Mzee Sema sana hayadhuru watu back hata kama yanadhuru sio direct moja kwa moja kama ilivyokua kwa Mr. Late

Kampuni ilikua inaenda kibabe sana huku ndugu na CEO wakiongoza kampuni wanavyotaka na kujisikia kana kwamba wanawatawala wake zao (Rejea kwa branch manager alivyokua ana treat watu vibaya, rejea vifo vya kina watch8 na n.k)

Binafsi naona ni bora hata amani ya ku fake kuliko wakati ule
 
Taja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
konda =Branch Manager,
Daftari = Chuo cha diplomasia;
Kabati= lupango;
Mpenda democrasia = Mkwe wa Mzee aliyefiwa na Mkewe na juzi katembelewa huko Arusha na alikuwa waziri wa fedha na gavana
Sema sema = mpuuzi mmoja wa singida na mbinafsi sana, kila siku risasi
Niendelee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…