Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kuwa mtu wa kawaida kunakuja na gharama zake pia.

Imagine kukosa huduma ya kwanza hospitalini kwa haraka sababu wewe ni kajamba nani[emoji28]?

Can you believe unaweza sumbuliwa na trafiki over trivial matters sababu wewe ni kapuku tu huna kitu wala connection.

This has to shock you even more unaweza kuishi maisha duni bila kazi ila umesoma vizuri na elimu yako? That goes to your kids as well.

Kuna jirani yako sababu tu ni boss TRA anakula nchi na familia yake isivyo kawaida anakudhulumu sehemu ya ardhi yako sababu ana connection na Lukuvi na huna msuli wa kutunishiana nae. As worst as it may sound!
Ni kweli kaka, ila tunapita tu.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Usinambie hii kitu ndo unaijuwa kwa mara ya kwanza? Duniani hakuna siri watu wake wa karibu na the late ceo walivyoanza kufa siri ndo zikaanza kutoka hata huku mitaani baadhi ya watu tulijua hii mipango lakini ndo hivyo huna cha kufanya unamwambia nani? Mtu anakwambua mapema ceo kafa meza pin.

Kama mimi nilijua mapema ceo kafa wiki kabla ya tangazo , nikiingia humu jf watu wanauliza ceo yuko wapi? Nashindwa kusema maana ilikuwa ni hatari kusema. Hakuna siku zilizonitesa kama hizo wiki mbili ceo kashakufa watu hawana taarifa.
Ungeropoka ingekula kwa dereva😅😅😅
 
Kumbe late ceo alikuwa sawa kuua na kupiga risasi wanafiq wote. YULE ALIKUWA KIONGOZI TUMEZINGIRWA NA FISI NA MBWA.ni bora angeendelea kuwamaliza mmoja mmoja. SASA born town si atamuua kila atakaekwenda kinyume nae. Watu wetu wa usalama tuwatafutie jina lingine ni UCHAFU.
Me najiuliza tu,old CEO ana 72 years sasa hivi.nini anatafuta tena kwenye haya maisha hadi aanze kuongoza hayo magenge ya wahalifu?
Sasa na huyo new CEO atadumu kweli kwa style hiyo?
 
Vyakula ni hatari sana ila the late ceo na team yake walimalizwa na powder ilowekwa kwenye zile documents. Kumbuka late ceo hawezi zisoma peke yake lazima na watu wake wa karibu wakaondoka kwa mgongo wa corona.

Inshort hii movie ilibidi ichezwe kwenye kipindi cha corona ili watu waamini kuwa ni Corona, ni mipango tu.

Corona ni mpango wa mataifa makubwa kutimiza matakwa yao. Kwenye hii vita ya urusi na Ukraine unaisikia corona tena?
Mtu anaambiwa pambana na Corona yeye anabaki anasema hii Ni Vita ya kiuchumiiiiiiii,Mara barakoa inafanana na titi moja la mwanamake lililokatwa.

Kilichofuata TBC Ni wimbo wa Taifa afu imeisha hio.
 
Mwanzoni nilianza kumuonea huruma Mr. Late lakini nilipofika hapo kwenye tukio la Mzee baba Sema Sema huruma yangu kwa The Late ikaisha.

Mwandishi upo vizuri.. Iwe kweli Mr. Late alifanyiwa uhuni au alivuta naturally naona Kampuni imeokolewa kwa kiasi fulani. Ni bora hapa kampuni ilipo kuliko kule ambako ingekuepo

Kuabudiwa na kutaka kutengeneza utawala wa kifalme ni moja ya mambo ya kipuuzi sana ambayo hayapaswi kupewa nafasi hata kidogo.
 
Mwanzoni nilianza kumuonea huruma Mr. Late lakini nilipofika hapo kwenye tukio la Mzee baba Sema Sema huruma yangu kwa The Late ikaisha.

Mwandishi upo vizuri.. Iwe kweli Mr. Late alifanyiwa uhuni au alivuta naturally naona Kampuni imeokolewa kwa kiasi fulani. Ni bora hapa kampuni ilipo kuliko kule ambako ingekuepo

Kuabudiwa na kutaka kutengeneza utawala wa kifalme ni moja ya mambo ya kipuuzi sana ambayo hayapaswi kupewa nafasi hata kidogo.
Unapata picha gani kuwa the old CEO anakula sahani moja na kijana msema sana? Afu huku mitaani watu wanampigania kumbe yeye yala bata? Ukielewa hii simulizi ni upumbavu, hata mimi ningeondoa takataka.
 
Kapo tangu early 70s
Hahaa nimekumbuka kitu..
Unajua hata kipindi hiko 70's Aliyekuwa CEO wa kwanza wa Kampuni yalishamtokea mara nyingi akawa anakwepeshwa na wasamaria wema..
Akataka kujua chanzo.. Akaambiwa umekaa sana kwenye kitu.. Achia madaraka yeye hasikii..
Kwenye 80's akiwa kwenye vikao vya ndani ya kampuni akasema nikitoka kwenye kiti hiki basi Mfanyakazi wangu hodari (anatoka kwenye jamii ya wafugaji) ndiye anayefaa..
Washikadau wa kampuni wakapigwa butwaa huyu msimamizi mkuu wa shughuli za kampuni anatusumbua namna hii kila dakika ni uhujumu uchumi...
Wakasema hapana.. Aliandaliwa msafara kutoka Makao kuja mjini akala mzinga wa hatari.. Ceo wa wakati huo alipopata taarifa ya msiba wa msaidizi wake mkuu wa shughuli.. Akajua kituo kinachofuata ni yeye mwenyewe.. Ndipo ikatoa tangazo kubwa kwamba NANG'ATUKA..
Basi washikadau wakatulia na ndipo ikaleta terms ya kuchukua kiti cha CEO ni miaka 10 tuu..
Ukizidisha kitakachokupata usilalamike..
 
Unapata picha gani kuwa the old CEO anakula sahani moja na kijana msema sana? Afu huku mitaani watu wanampigania kumbe yeye yala bata? Ukielewa hii simulizi ni upumbavu, hata mimi ningeondoa takataka.
Mkuu hata Mr. Late na genge lake + branch manager walikua wanakula sana sio kwamba wao walikua watakatifu. Shida yao ni kwamba kula tu waliona haitoshi wakaingilia na kuleta athari kwenye maisha ya watu wengine wasio na hatia.

Bora hata mazingira ya Mzee Sema sana hayadhuru watu back hata kama yanadhuru sio direct moja kwa moja kama ilivyokua kwa Mr. Late

Kampuni ilikua inaenda kibabe sana huku ndugu na CEO wakiongoza kampuni wanavyotaka na kujisikia kana kwamba wanawatawala wake zao (Rejea kwa branch manager alivyokua ana treat watu vibaya, rejea vifo vya kina watch8 na n.k)

Binafsi naona ni bora hata amani ya ku fake kuliko wakati ule
 
Taja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
konda =Branch Manager,
Daftari = Chuo cha diplomasia;
Kabati= lupango;
Mpenda democrasia = Mkwe wa Mzee aliyefiwa na Mkewe na juzi katembelewa huko Arusha na alikuwa waziri wa fedha na gavana
Sema sema = mpuuzi mmoja wa singida na mbinafsi sana, kila siku risasi
Niendelee!!!
 
Back
Top Bottom