Dark days 17/03/20...

Hakuna kitu kigumu watu wakiamua kwani huyo borntown ni binadamu kama binadamu wengine atapotea tu.he is not so special.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app

Born town ndio nani na kosa lake ni nini mpaka apotee...

the dark is dark, you cant see when you are out...

kheri for kheri, shari for shari...

your line is your boundary, somebody crossed and crossed, again and again ooooh this is kheri sio.....no there is triger to pull, missed several times there is a day will get you....you have to solve the Intergral before the story.
 
the saga continue...
 
mkuu nakuelewa vzr
 
ukijua yalipoanzia kuanzia pale yalipoanzia mpaka kijijini ile siku...basi huwezi kumlaumu mtu....sidhani kama kuna mtu anapaswa kufa na kuna mtu ana haki ya kuishi....wote tuna haki ya kuishi au sio.....ukweli uko gizani..

mamlaka ya gizani, iko gizani na kamwe haiwezi kuonekana... kuna wanaoishi gizani tu, wapo wa mwangani tu, wapo waliopewa kibali chagizani na mwangani....
Wasiojua gizani ni wapi walijaribu kuunda giza nje ya giza wakiamini wao ndio giza....waliogizani wanaowaona huko huko kwenye giza lao bila wao kujua kuna giza lingine.....
 
Kwa sababu huyo Born town anatumia kampuni Kwa maslahi yake na inasemekana anahusika kupotea Kwa late CEO.yaani anahakikisha kwamba CEO aliyeko madarakani anaongoza Kwa ridhaa yake Sasa watu wengine kwenye kampuni wameamua kuwa he should now step down yaani ni mstaafu asiyetaka kustaafu.sasa hao watu wanataka CEO ajaye aongoze kampuni Kwa maslahi ya wenye kampuni pasipo kubughudhiwa.wameamua na wanatekeleza.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
bosi wa vibwengo anareport angani yes ndio hewani , na hajui kama anareport tena daily...bosi wa vibwengo ananguvu na mamlaka on his maths.... who is on check and balance....?
Before God nguvu za Giza is totally nothing ni kujilisha upepo.hii kampuni ni kampuni ya Mungu.Mungu atawandoa wadhalimu wote.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kudhani kuwa yoga yupo upande wa jiwe, lkn pia waweza kuhisi yupo upande wa godfather, kama vile amedhamiria kutuburudisha waweza dhani pia yupo upande wa current CEO nk.

Ila ukisoma kiundani utagundua kuwa huyu yoga hayupo popote ila anaufahamu mwingi wa mambo yaliyopita, na kwa sababu hiyo anatuburudisha na hii hekaya kwa kupiga kote kote yaani namfananisha na "shetani aliyeokoka" awajuaye waovu wote ndani ya kampuni.

Tunakumbushana ni hekaya tu wala haina ukweli wowote (kwa mujibu wa yoga)
 
Kwahyo borntown anakuwa assured ulinzi wake na power kwa prince of the world..!??(beelzebub)
 
Kama late CEO alishindwa ye ni Nani!!?
Who is on top!? Naona giza tu ni system gani hiyo isiyogusika? Ni born town? Ninavyojua manyota ana team inamuamini na kumtii, akisema akinukishe hawatampinga yaani anweza kuasi Kwa kuingia msituni na vikosi kadhaa vinavyomuamini then anakinukisha! Au kampuni yetu ina mifumo ambayo haimpi mwanya mkuu Manyota kufanya hivyo? Au ni ustaarabu wake tu! Au, au au au au........
Nitarudi
 
So, tunazugwa! Watoto tu concentrate na hizo movie zao then wao wanafanya yao... Hao wanatumika kutuzuga kama huyo anaeaga kila kambi huwa wanajua wanafanya hivyo ili kupisha mishe fulani ichezwe au nao pia kama sisi (au hata sisi tunanafuu maana tunajua tunazugwa [emoji3])
 
Nawasaidia hii code ya Mzee aliyemmentor Mr. Born town ni Mzee kiutoka Visiwa vya UK na aliwahi kuwa Sabufa katika idara za Kampuni
 
Nawasaidia hii code ya Mzee aliyemmentor Mr. Born town ni Mzee kiutoka Visiwa vya UK na aliwahi kuwa Sabufa katika idara za Kampuni
Huyo unayemtaja sijui katoka visiwa vya UK hana ofisi hapo kwa current CEO, huyo mzee anayetajwa na yoga ofisi yake ipo hapo hapo kwa current CEO.

Jiongeze bwashee hujafungua code ya Mzee 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…