Dark days 17/03/20...

Sawaaaa
 
Hivi watu wanafikiri kuchimba madini ni sawa na kuchimba mihogo shambaniI inahitaji heavy Equipment..Ili uweze kupata madini underground tuambieni hizo plant Kagame amewekeza sehemu gani huko Congo !?
 
 

Attachments

  • IMG-20220724-WA0081.jpg
    85 KB · Views: 99
Life is not fair Mali tutaziacha hapa duniani tutaondoka Kama tulivyokuja hapa duniani. Very bad. Pamoja na mshahara 80% ya current President, healthcare nzuri first class, mpaka ufe, lakini bado unataka zaidi na zaidi
 

Attachments

  • IMG-20220724-WA0081.jpg
    85 KB · Views: 135
  • IMG-20220725-WA0092.jpg
    104.3 KB · Views: 127
[emoji846][emoji846][emoji846][emoji4][emoji4][emoji4] yoga yoga [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]

Sent from my IPHONE using JamiiForums mobile app
 
Target locked.........
Mark the day 20/7.........
One of the historical moment in bt company.

According to Yoga's story, vijana walipewa task kumweka bt Kwa target Kwa 5 yrs from 2.....1 to 2....6.

Kama target is locked 20/7..........

Je vijana wamekamilisha target b4 time, accomplishment b4 time?

Mark the date!!!!!!
 
Hadithi husimulia about the past,

From now on hii tuiite tamthilia kama Ile ya Isdin......, Maana ni endelevu,

Yanatokea, anaandika, anasimulia.

Tupo saaaaaana kwenye Uzi huuuu!!!!
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…