It's ok, kukaa GIZANI Kwa madhumuni ya kujua waovu wa gizani wanafanya nn Ili kulinda watu wa Mungu inaruhusiwa kbs.Sipo mbali sana ila nilitaka kuweka nguo ya kaniki mbele ili wasioijua kaniki ina rangi gani waone kuwa ni giza kumbe ni nguo tu ya kaniki na wakiitoa panabaki na mwanga
Ameen 😂It's ok, kukaa GIZANI Kwa madhumuni ya kujua waovu wa gizani wanafanya nn Ili kulinda watu wa Mungu inaruhusiwa kbs.
Rahabu yule KAHABA, aliwapokea wapelelezi Kutoka Israel, na kuwaficha.
Waliporudi kikazi, kiliponuka, aliifanikiwa kuokolewa Yeye na familia yake.
Uza idea hii na mimi unipe changu mapema kwa kukupa idea yogaHiki kisa kinafaa kutengenezewa filamu ya kijasusi flani hivi iitwe hivyohivyo "The dark Days" 17/3/2021
Great idea 👏👏, yoga take it.Uza idea hii na mimi unipe changu mapema kwa kukupa idea yoga
Hiyo posti IPO wapiHabari ya mjini sasa hivi ni maharage ya ukweni fuatilieni ndoto yake aliyoiota post yake ya 17 Nov,
Naona kama imefutwa mwenyewe nimeitafuta sioniHiyo posti IPO wapi
Sawa.Naona kama imefutwa mwenyewe nimeitafuta sioni
Sawa.
Na mie nahitaji pliznakutumia dm
Ukiona mwanaume mzima tena kiongozi anajiremba kwa kupaka piko kichwani na kuacha baadhi ya mvi kama urembo ni wa kumchunguza Huyo."Hakuna chama chochote cha siasa duniani kinachoongozwa na mtu, kama mtu yupo na anasikika ni kwa sababu wenzake katika chama wameamua aseme kwa niaba yao sio kwa sababu yeye ana akili kuliko wengine," - Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi
"Haya mambo ya sijui chama cha fulani yapo tu Tanzania na ni ushamba, hakuna chama cha Mbatia, chama cha Mbowe wala cha Selasini chama ni cha wanachama na hizi ni taasisi za wananchi," - Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi
View attachment 2425319