It's ok, kukaa GIZANI Kwa madhumuni ya kujua waovu wa gizani wanafanya nn Ili kulinda watu wa Mungu inaruhusiwa kbs.Sipo mbali sana ila nilitaka kuweka nguo ya kaniki mbele ili wasioijua kaniki ina rangi gani waone kuwa ni giza kumbe ni nguo tu ya kaniki na wakiitoa panabaki na mwanga
Rahabu yule KAHABA, aliwapokea wapelelezi Kutoka Israel, na kuwaficha.
Waliporudi kikazi, kiliponuka, aliifanikiwa kuokolewa Yeye na familia yake.